Asante kaka, acha tu, joto la jiwe tunalipata, heri kugawana mali, tatizo ni vituko ndani ya nyumba kuanzia kununiwa, kunyimwa nani hii kwa sababu "zisizojulikana", watoto kufokewa bila sababu, ukipata hela basi huna uhuru nazo tena sababu cha kwanza wamfikiria yeye na watoto wake, ratiba yako wanaanza wao ndio wewe, basi shida tupu, ila tuliyataka wenyewe, si mchezo..
Hongera kwa kuwa singo mkuu, you are not missing anything bro apart from mambo hayo juu..Ni shida..