Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

CC sioni kuwa ni tatizo, tatizo ni kutoka nje ya mada, unakuta mtu anaomba ushauri kuhusu mahusiano yake, wanakuja wengine "I love you to the moon....", maneno yenyewe wanakariri tu.

Nawashauri wabaki ndani ya mada na kutoa productive comments.Chini wakiweka CC sawa tu.

JF doesnt revolve around them, it never had, nor will ever be.
 
Mind your own business Mkuu. Hayo mambo madogo madogo hayakupunguzii chochote wewe katika maisha yako au uanachama wako hapa jamvini.

Oya niaje wadau,

Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna! Je usipomtag atahisi hakupendi?

Lets grow up People! Mnatukera wengine ambao tunatoa thread kwa nia ya kujifunza then nahisi wengine wanatumia hii forum bila kuhitaji benefit yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom