Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Yule pendapendahahahaaaaa ryvanny alikuanzishia uzi kabisa wewe bdo ulimpiga cha ugoko au???
Teh teh..Huko sahihi mkuumi nadhani kale ka ubavu ketu kalikochukuliwa watutengenezee mke kalipikwa supu tu
Mmmmh!!Teh teh..Huko sahihi mkuu
[emoji85] [emoji85] [emoji85]lkn makubaliano yetu umeyasahau!??
ha ha ha ha ha ha ha nimecheka loooooooooh kumbe linawaingia watu akilini? ha ha haOya niaje wadau,
Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna! Je usipomtag atahisi hakupendi?
Lets grow up People! Mnatukera wengine ambao tunatoa thread kwa nia ya kujifunza then nahisi wengine wanatumia hii forum bila kuhitaji benefit yoyote.
ha ha ha ila humu wanaume mnakatabia kakujiwejeza fasta huku mwanamke hana habari yanayoendeleaPia inasaidia kujua nani mpenzi wa nani kuepuka migongano ya makolo
Kweli kabisaa
Hujaniletea chuchu hizo, usinilaumu.[emoji85] [emoji85] [emoji85]lkn makubaliano yetu umeyasahau!??
Hahaaa. Umeona rafiki na asipoangalia atakufa siku si zake na kupata pressure juu.
Just want to say i love you...Yes my king!!