Usijali kaka. Siku njemaMimi mzima wa afya
Hapana huku hakufai, halafu dawa ya mtu mwenye wivu ni kuongeza dose hadi wivu ukome
Na kwako piaUsijali kaka. Siku njema
love u tooLove you darling.
Hauwezi kumpangia mtu akoment vipi.kama na wewe una wako muandike tu.hakuna atakaye kuhoji.Ila kama kuna kaukweli hivi
Ila usijali hakuna litakaloharibika, wacha tag ipewe heshima yake ili wale wanaoumia wakamwone dochumu Wapo wengi sana twin tushawazoea..
Yep huku kunahitaji moyo wa Jiwe twin lasivo mhmmhmhmhmh..
Cc Smart911
Cc: Jovitha babywewe sijawahi ona umetagiwa so naomba tulianzishe mkuu.
hahahaaaaa ryvanny alikuanzishia uzi kabisa wewe bdo ulimpiga cha ugoko au???Sina mtu humu! Ata nikimpata siwezi m CC! Yaani hainifit kabisa hiyo kitu! [emoji23][emoji23][emoji23] ina wenyewe
mi nadhani kale ka ubavu ketu kalikochukuliwa watutengenezee mke kalipikwa supu tuBro humu sisi tu ndo masingle..Naona kila mtu yuko double siku hizi
Cc Mwenye-wivu-ajinyonge.humu Wapo wengi sana twin tushawazoea..
Yep huku kunahitaji moyo wa Jiwe twin lasivo mhmmhmhmhmh..
Cc Smart911
Kama sina?Hauwezi kumpangia mtu akoment vipi.kama na wewe una wako muandike tu.hakuna atakaye kuhoji.