Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

Nikitaka kujua kama RAFIKI YANGU 911 yuko online, huwa namtaja binti mrembo mmoja, MARHONDAW.

Soon ataibuka MMILIKI...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Dawa yake kila mtu awe kwenye relation ,

Maumivu yakizidi muone daktari
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sina mtu humu! Ata nikimpata siwezi m CC! Yaani hainifit kabisa hiyo kitu! [emoji23][emoji23][emoji23] ina wenyewe
Ya kweli haya..! Nauliza tu usinipige...[emoji125][emoji125][emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom