Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

Oya niaje wadau,

Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna! Je usipomtag atahisi hakupendi?

Lets grow up People! Mnatukera wengine ambao tunatoa thread kwa nia ya kujifunza then nahisi wengine wanatumia hii forum bila kuhitaji benefit yoyote.
Hii itakua inatukera sisi ambao hatuma wachumba humu ila wenye wapenzi hawaoni shida
 
It's so weird n boring indeed!

Let them grow Up.
 
Naona mwenye huu uzi kaamusha madude yaliyoko kwenye mahusiano humu...

Kheri disminders maana wao watapita na kucheka tu, na hizo cc: kwao ni kama clinical councer
Haidhuru sana kama ukiipotezea tu.

Fanya mambo yako ya watu wanayajua wao. Kama ni thread naadvice kuwa mwisho muwe mnaweka warning.

Nb. No inclusion of cc in my thread.
Watakuelewa vizuri mkuu
 
Oya niaje wadau,

Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna! Je usipomtag atahisi hakupendi?

Lets grow up People! Mnatukera wengine ambao tunatoa thread kwa nia ya kujifunza then nahisi wengine wanatumia hii forum bila kuhitaji benefit yoyote.
Mkuu hili ni jukwaa la mapenzi sasa ulitaka wakatag kwenye jukwaa la siasa??Vitu vingine mjifunze kuwa wavumilivu huo unaoufanya ni ubabe
 
Oya niaje wadau,

Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna! Je usipomtag atahisi hakupendi?

Lets grow up People! Mnatukera wengine ambao tunatoa thread kwa nia ya kujifunza then nahisi wengine wanatumia hii forum bila kuhitaji benefit yoyote.
Umezunguka tu unawesema hawa mahondaw na Smart911
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom