Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

Mlio katika uhusiano humu mnazingua kichizi

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Oya niaje wadau,

Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna! Je usipomtag atahisi hakupendi?

Lets grow up People! Mnatukera wengine ambao tunatoa thread kwa nia ya kujifunza then nahisi wengine wanatumia hii forum bila kuhitaji benefit yoyote.
 
Mapenzi ujinga/upofu so wewe vumilia tu.

Ogopa sana mtu anamidevu rundo na anitwa baby anachekelea tu, ujue kakamatika sio akili yake.

Mapenz yana run dunia, so chukulia poa tu usije kufa kwa presha n ukizingatia kuna uhuru wa mtu kuandika anchojisikia, utajichosha bureeee
 
Penzi changa/ jipya halijawahi kumuacha mtu salama, so vumilia kwa kipindi hiki wakishazoeana hutaona mtu katajwa wala kuitwa kwenye nyuzi, wenyewe wanasemaga kipya kinyemi ingawa kidonda
Well said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom