Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

Niajiri nikulindie. Nakua shamba boy mchana usiku mlinzi
 
Nadhani Next Man na k-bee reference yao ni hawa walinzi wa security firms ambao ni kweli mishahara yao midogo sana na ndio maana wanakubishia!

Back in the days nilikuwa nafanya taasisi moja ya fedha kwahiyo nina uzoefu na mishahara ya kada mbalimbali! Na pale nilienda nikiwa na digrii yangu!

Pamoja na yote hayo, analipwa Mlinzi wa TANESCO ambae hata kuandika alikuwa hajui ilikuwa ya maana hasa! In short, ukichukua mshahara wake ukachanganya na marupurupu, mimi na wenzangu na digrii zetu tulikuwa hatumfikii yule mzee ambae hata kuandika hajui!

Na unakuta miezi mingine anawapiga gap la haja hasa...

Kwenye security firms ndiko wanaua lakini kama umeajiriwa kwenye hizi taasisi kubwa, ni kweli ukichanganya na ma-night plus benefits zingine, watu huwa wanatoka na mpunga wa kutosha!
 
Ration + posho ya kulinda bank + posho ya FFU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshajua unafanya kazi wapi ila ngoja nikumezee tu

Sent using kidole gumba
 
Fuga mbwa
 
hao walinzi wa taasisi maalumu,hatuwahesabu kama walinzi hawako kundi hilo.

tanapa,takukuru,bot,bandari.kote huku kuna walinzi ila ni maafisa ulinzi wa taasisi husika,wanalipwa pesa nzuri tu.

wala huwezi hisi umelaanika kwa kwa kufanya kazi hapo,labda amekuwa supervisor wa guardaworld
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjeda acha kazi ya kulinda uje huku mtaani uone mabaharia tunaishije utakuja kulialia hapa unataka angalau kazi ya ulinzi wa zile kampuni wanavaa sare alizoshona Mama Mwajuma Ndalandefu huku wakikabidhiwa gobole au kirungu tu.

Usifanye mzaha na maisha shukuru ulichopata na ukitumie kama chanzo cha kupata mtaji wa kujiajiri.
 
hiyo hela kubwa sana pambana aiseee
 
Upolisi mbona ni kazi nziri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…