New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,310
- 2,425
Isanga, Nonde, Mabatini na Soko Matola walikuwa wanaongoza kwa tabia mbaya
bila kutusaau watoto wa kota ffu
Isanga, Nonde, Mabatini na Soko Matola walikuwa wanaongoza kwa tabia mbaya
Kinyamwezi sijui tunaitaje? Jiwe, @El nino, na wengine hebu leteni jina la huu Mpira.
Kama sikosei tuliita mpira wa MANYALI.
copyright! Hiki ni kin'yenga, mkuu!
FFU na magereza nyie sanasana mlikuwa mnaingia bure Mapinduzi Tukuyu Stars ikichezabila kutusaau watoto wa kota ffu
Mkuu IdimiNa vipaji vingi katika ligi nyingi ulimwenguni vimetoka katika chandimu kama hio pichani. Wapi PakaJimmy? Anamisi mambo hapa!
Ikiniengo kya matarakatasi.
Mkuu Idimi
Tumecheza sana hii kitu hadi vijiji vya jirani kama Itala Masyeto, Usoha Muungano, Isebhe, Itewe, Itambalila, Sangu'wumu, Mwamengo, Nnado, Mwantaji, Mbonile, Ukulila, Ikuyu hadi Simambwe.
Unfortutantely, nikiwa ndo naelekea kuhitimu ya msingi tulianza kucheza chandimu kwa pesa (sijui tuite ni kamari ama la). Nina maana kwamba, timu yetu na timu pinzani tunaweka pesa (aghalabu sh. 10 au sh.20 noti) kwa kila timu. Timu mshindi anaondoka na kitita. Zilikuwa ni timu kadhaa zinashindana kwa hiyo kuna baadhi ya timu walikuwa wanaondoka na mshiko kila mechi. Those old dayz of ourz
Sambi hilo.
we utakua Mnyaki kama sio wa Mbalizi basi ni Simike...
Mpango mzima green city MBY