Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,079
- 165,849
- Thread starter
- #21
Dah! nakumbuka Tabora! Enzi nacheza kama centre forward , kwenye kombe la kuku, na udhamini wa kupata tango kutoka kwa diwani Lugembe Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
watu zaidi ya kumi na moja mnamlaje kuku mmoja?