Mlikuwa mkiitaje enzi zenu?

Na vipaji vingi katika ligi nyingi ulimwenguni vimetoka katika chandimu kama hio pichani. Wapi PakaJimmy? Anamisi mambo hapa!
 
Last edited by a moderator:
Kinyamwezi sijui tunaitaje? Jiwe, @El nino, na wengine hebu leteni jina la huu Mpira.

Kama sikosei tuliita mpira wa MANYALI.

Sikonge,iduguye, we acha tu nimecheza sana kule Kikungu shuleni,nilikuwa natembea nao kwenye mfuko wa madaftari.Ilikuwa kengere ya mapumziko ikilia mie niko nje ya darasa na mpira wangu natengeneza magoli ili KIPUTE kipigwe..............
siku hizi watoto/vijana hawatakikucheza mpira wakati wa kila kitu hata vijijini
 
Kikungu,

Nilipita Usunga na nikakuta Mzinga wa Mechi na watu wamejaa kibao wanacheza Mpira wa kisasa. Upande mmoja inafurahisha na upande mwingine inasikitisha. Historia inapotea ila maendeleo ndiyo hayo maana ukiendelea siku zote kucheza na Manyali, basi inabidi wakuite KIBUMBUSWA au Kichuguu.

Sox za Baba/kaka zimetumika sana kwenye hii kazi. Ila kilipoanza kilimo cha tumbaku, kamba na mifuko ya plastic ikaokoa mambo kwa sana maana ndiyo ilikuwa midhaa muhimu. Nakumbuka kulikuwa na ule mchezo kama wa Tennis yaani mstari katikati na unapigwa mpira kama danadana na ukianguka upande wako, basi goli. Jasho hapo si kawaida.
 
68000_381609655253086_1445881477_n.jpg

Na vipaji vingi katika ligi nyingi ulimwenguni vimetoka katika chandimu kama hio pichani. Wapi PakaJimmy? Anamisi mambo hapa!
Mkuu Idimi
Tumecheza sana hii kitu hadi vijiji vya jirani kama Itala Masyeto, Usoha Muungano, Isebhe, Itewe, Itambalila, Sangu'wumu, Mwamengo, Nnado, Mwantaji, Mbonile, Ukulila, Ikuyu hadi Simambwe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Idimi
Tumecheza sana hii kitu hadi vijiji vya jirani kama Itala Masyeto, Usoha Muungano, Isebhe, Itewe, Itambalila, Sangu'wumu, Mwamengo, Nnado, Mwantaji, Mbonile, Ukulila, Ikuyu hadi Simambwe.

Unfortutantely, nikiwa ndo naelekea kuhitimu elimu ya msingi tulianza kucheza chandimu kwa pesa (sijui tuite ni kamari ama la). Nina maana kwamba, timu yetu na timu pinzani tunaweka pesa (aghalabu sh. 10 au sh.20 noti) kwa kila timu. Timu mshindi anaondoka na kitita. Zilikuwa ni timu kadhaa zinashindana kwa hiyo kuna baadhi ya timu walikuwa wanaondoka na mshiko kila mechi. Those old dayz of ourz

 
ulikuwa kijiji gani?
Karibu sana Nsanga Mweluelimu
Unfortutantely, nikiwa ndo naelekea kuhitimu ya msingi tulianza kucheza chandimu kwa pesa (sijui tuite ni kamari ama la). Nina maana kwamba, timu yetu na timu pinzani tunaweka pesa (aghalabu sh. 10 au sh.20 noti) kwa kila timu. Timu mshindi anaondoka na kitita. Zilikuwa ni timu kadhaa zinashindana kwa hiyo kuna baadhi ya timu walikuwa wanaondoka na mshiko kila mechi. Those old dayz of ourz

 
Mpango mzima green city MBY

ituha, iyunga ilemi isanga, izumbwe, iyunga,llomba ,igawilo, isongole, isyonje, ilolo, ivumwe, itende,iwambi, imezu, itigi, nonde, nzovwe, block t block q, soweto, mwanjelwa, mama john, mwambene, llm, uyole mbuyole, simike, mbalizi, foest mpya na ya zamani, airport, pambogo, mabatini.

wa wap wewe
 
Back
Top Bottom