Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Unayafahamu majukumu ya OCD?Lete ushahidi usiokuwa na shaka!
Leta ushahidi usio na shaka wa sheria alizovunja!Unayafahamu majukumu ya OCD ?
We unataka ushahidi gani?Leta ushahidi usio na shaka wa sheria alizovunja!
Mbwiga una ushahidi gani?We mpuuzi unataka ushahidi gani?
Asiposhughulikiwa kisheria atashughulikiwa kienyejiLeta ushahidi usio na shaka wa sheria alizovunja!
Kienyeji Chadema hamuwezi!Asiposhughulikiwa kisheria atashughulikiwa kienyeji
Kama umesoma uzi huu na una akili timamu kila kitu kimejieleza mleMbwiga una ushahidi gani?
Kwahiyo uzi huu ndio ushahidi wa kumtia hatiani?Kama umesoma uzi huu na una akili timamu kila kitu kimejieleza mle
Tatizo kwa OCD ni kauli zake ndizo zitiazo mashaka.Usimtie ubaya OCD wa watu. Ni nani alikuwa na ujasiri wa kumgusa Sabaya mpendwa wa Baba?