NaimaOmari
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 801
- 46
Naamini wanawake wa kiislam wanatambua hilo kuwa mme wake anaweza ongeza jiko at any time!au siyo?hivyo mme akitaka kuongeza mke naamini bi mkubwa
lazima akubali!
Ni lazima kuwe na ridhaa ya mke mkubwa ... ila kama ujuwavyo mapenzi si kitu chepesi wala cha kuchangia na suala la kuoa kumueleza mwenzawako ni kama kumchoma kisu ... most men avoid such encounters wanaamua kuoa kimya kimya baadae mambo yakibumburuka anajikosha ...ma laghai hawa ...
I tell you Hollo mimi when i just know at the clip of my figures i end it there and then