Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

ila hii dunia watu wahuni sana,, halaf wakasaka waislam wa hukohuko ndo waende kwenye tukio baadae unataka kuunganisha dini kwenye bifu zako,,.....ila sielewi kwanini waislam wengine wanakubali kutumika hivi ili kuchafua dini wanayoaminishwa wanaenda kuipigania ........Dini ni ka sayansi fulani kanafanania ladha na tunguli zetu za huku hii kwa pande zote za dini, upande wa pili kawatengeneza wazee wa taifa la Mungu ila full kupigania mambo ya kishetani na wana wafuasi wa kutosha...........hizi kitu bora kurudi kwa wazee tu
Kwan kuna sehem wamesema hao ni waislam
 
How? Isn’t the FSB head claiming the US was involved in the recent attack?
Ugaidi hauangalii wewe ni super power au wa kawaida ndio maana Israel pamaja na uimara wake lakini wamekuwa wakitaabika sana na Ugaidi. Hata Marekani imeteswa sana na ugaidi hadi ndani ya ardhi yake.

Kinachowasumbua ni ushabiki maandazi
 
Wanaukumbi.

Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow".

Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...

.
---
Russian Federal Security Service Chief said today, “the US, Britain, and Ukraine, were behind the Moscow concert hall attack”.Those are serious allegations… with global implications…Regardless of who you think is telling the truth, tensions are high.
How credible is the source?
 
Ngoja wala nguruwe waje kupinga....Watu duniani kote wanajua Marekani ndio anatuma hayo makundi 😅😅
20240326_102513.jpg
 
Wanaukumbi.

Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow".

Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...

.
---
Russian Federal Security Service Chief said today, “the US, Britain, and Ukraine, were behind the Moscow concert hall attack”.Those are serious allegations… with global implications…Regardless of who you think is telling the truth, tensions are high.
Bila kuweka ushabiki na unazi. Dunia inapoelekea hakuna atakayesalia salama. Yaani mashabiki wa vita, Tusioshabikia vita, Wapiganisha vita na wapiganaji wa vita hakuna atakayetulia kwa utimilifu. Tunaenda kukanyagana bila kuhurumiana.

Damu ya wanadamu itamwagika umbali wa maili 200 na Tumbusi wenye taya zenye nguvu watakuwa maafisa wa mazishi kwa sababu tutashindwa kuzikana
 
Back
Top Bottom