Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchini Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".

🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
 
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia

😂
 
Wamepelekwa mahakamani ila wako hoi. Wamepelekwa wawili. Yule mwenye sauti ndogo/nyororo/aliyevimba jicho (itakuwa kapata kipigo cha mbwa koko) anaitwa Mirzoyev Dalerjon Barotovich na aliyekatwa sikio anaitwa .Rachabulizoda Saidakrami Muradali

View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1772003433748307980?s=20

Huyo mwamba wa kushoto ukiangalia clip yake anatia huruma mpaka basi. Amevimba vibaya usoni halafu ana hema sana kama anashindwa kupumua. Muda mwengine anasimama kama anaugulia maumivu yaani anakosi pozi zuri la kusimama yaani kama hajui asimame au ainame.

Yule mwamba aliyekatwq sikio katulia kawa mpole vibaya naye kaumuka usoni.
 
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".

🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Si tumeambiwa waislam hapa na wakatoliki wa bongo mbona tunaona wayahudi miungu wa waafrika wakristo kina Bwajima. Vipi ISS?? You can't fool people all the time...Bangusilo waislam.
 
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".

🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
Sasa wao walifikiri wataokoka?

Yaani kuna muda mtu anatafuta kifo makusudi
 
Huyo mwamba wa kushoto ukiangalia clip yake anatia huruma mpaka basi. Amevimba vibaya usoni halafu ana hema sana kama anashindwa kupumua. Muda mwengine anasimama kama anaugulia maumivu yaani anakosi pozi zuri la kusimama yaani kama hajui asimame au ainame.

Yule mwamba aliyekatwq sikio katulia kawa mpole vibaya naye kaumuka usoni.
Bado wataendelea "kuhojiwa". Wao wanasema hawaelewi kitu, walipewa kazi na maelezo kwa telegram pekee. Hawajawahi kumuona kwa sura/uso kwa uso na mtu aliyepanga shambulio
 
Hawa majamaa watakoma! Wamechagua kazi ya kijinga sana!
Kuna clip ile jamaa anayepigwa shoti sehemu za siri. Anapiga kelele vibaya! Najaribu kuiweka hapa inakataa!
 
Yaani bado wanaendelea kumhoji?! Kazi anayo! Hapo ndiyo unatamani kufa halafu haufi.
Hao jamaa ni magaidi ila wanapenda hela. Maana ISIS waliwapa na mabomu ya kujilipua ili wafe. Inaonekana hawakuyavaa au kuyatumia. Walikuwa wana njaa ya hela.

Pia kunatetesi kwenye jeshi la Ukraine kuna watu walikuwa wapiganaji wa zamani wa ISIS-K ndio inaonekana walipanga nao tukio. Ndio maana walikuwa wanataka kukimbilia Ukraine kwa washkaji wao. Maana hao jamaa 4 ni wazoefu wa kutumia silaha, je utaalam huo waliutoa wapi? Uwezo wa kupanga mauaji waliutoa wapi?
 
Back
Top Bottom