Unataka mwenyekiti wa CHADEMA awe Kikwete au naye hafai?Tatizo anayekiongoza amekosa sifa za uongozi wewe umeona wapi kiongozi mkubwa kabisa wa Chama Kikunwa kama cha CHADEMA anapigana pigana ovyo kama kijana wa mtaani vile?Natamani CHADEMA kiongozwe na Watu wenye staha za Uongozi kama Professor Safari,Arfi au Tundu Lissu.CHADEMA kinadharaulika na kuonekana kama genge la wahuni kwasababu ya mtu mmoja tu.Uchaguzi wa ndani wa Chama na hatimaye kupatikana Viongozi wapya ndio utakaosaidia kujenga taswira na muonekano mpya katika Chama kiasi cha kuwavuta hata Watu wastaarabu na wasomi wa kweli wakajitokeza hadharani kuunga mkono harakati za Chama.
anayoyaongea bado hayajawekwa hapa lakn mshatifuana hvo, sjui akishaongea patakuwaje?
vipi, ameshafika ukumbini au unawaza tu?Million 80 za kuchapisha kadi toka mwaka 2010 mbowe kalamba,duh kweli hii taasisi ya watu flani
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.
Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.
Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.
Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.
Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.
Hakuna mapya!
Bila shaka atakuwa ameshapewa RB na polisi, na uso wake utakuwa na manundu, bandeji na plasta kibao!
Ritz, najua mnasubiri kwa hamu sana kuona akiwasema vibaya CDM, lkn kwangu sioni jipya zaidi ya sarakasi za kisiasa na Mwigamba kuanza kucheza nyimbo za CCM.
Kisa chake hakina tofauti na Msabaha waliyekuwa CUF 'akapotea' na alipoibuka akadai alitekwa na CUF!
Sioni kama suala la Mwigamba litapunguza umaarufu wa CDM, bali kuuongeza.
Hicho ni kiherehere
chako cha kwenda Clinic wakati mimba kabeba dr.slaa. Pole sana kamanda
kwa kujipa majukumu ambayo si yako
enheeee..... Walivyokukera umechukua hatua gani? Au unapiga umbea tu huku jf?
Unataka mwenyekiti wa Chadema awe Kikwete au naye hafai?
Viongozi wa chadema wapigana ukumbini
Ujinga mtupu. Toka saa nne mpaka saa sita....live updates. Imebuma!
Mkuu naona una hoja, ila nikuulize juu ya CUF, UDP TLP hali ikoje huko? na hata CCM kuna tatizo, mwaanachama akiibuka kumpinga Mwenyekiti katika ucahguzi, huyo ni adui, kumbe nadhani tatizo si CHADEMA bali waasisi wa siasa za Tanzania, haawakujenga mazingira ya aina hiyo na lawama zote zinaenda kwa hao waaasisi wa demokrasia katika Tanzania. Bahati mbaya watu wengi hatulioni hilo bali tunaliona kama ni suala la CHADEMA tu na asiyo siasa za Tanzania.Mwigamba ana hoja ! CHADEMA inaendeshwa Kidikteta na Mbowe anatakiwa kung'atuka apishe damu changa willingly!
akishaongea mnidipu...