ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Unasubiri nini kupeleka ushahidi mahakamani..Chadema wamenisikitisha sana,,,,kama wanadai saimon mwigamba amekiuka katiba ya cdm,,,kwa nini waamue kujichukulia sheria mkononi na kuumpiga mwigamba.....kwakweli cdm imenikera sana ,,,,,isitoshe wamefanya hivyo mbele ya mwanzilishi wa cdm mh mtei,,,,,