Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

utamfanya akaedit hutuba yake sasa haahaahaaa!
 
hiyo taarifa bado wakuu, tunataka kumsikia je, anajipya ambalo ccm na mamluki wengine hawajawai kulisema.?
Mtahangaika sana na ccm wakati hao mnaowaunga mkono ni mamluki
 
Mbowe na slaa wamechakachua katiba ya chama ili kujihalalishia uwepo wao madarakani
Mkuu, nawashangaa sana hawa akina mbowe na slaa, sijui wanataka kutembea na mkongojo wakielekea pale Kinondoni mtaa wa ufipa?
 
Jamaa alipigwa sana na vijana wa Chadema.

Bila shaka atakuwa ameshapewa RB na polisi, na uso wake utakuwa na manundu, bandeji na plasta kibao!

Ritz, najua mnasubiri kwa hamu sana kuona akiwasema vibaya CDM, lkn kwangu sioni jipya zaidi ya sarakasi za kisiasa na Mwigamba kuanza kucheza nyimbo za CCM.

Kisa chake hakina tofauti na Msabaha waliyekuwa CUF 'akapotea' na alipoibuka akadai alitekwa na CUF!

Sioni kama suala la Mwigamba litapunguza umaarufu wa CDM, bali kuuongeza.
 
Kwa akili zenu za kuunga unga mlitaka awe kama Mwenyekiti wa maccm Taifa ati!

*CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)


*KATIBA: TOLEO LA MWAKA 2006


6.3.2 Muda wa Uongozi


(a) Kila Uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano.

(b) Kiongozi aliyechaguliwa au kuteuliwa baada ya uchaguzi mkuu atashika wadhifa wake hadi kipindi cha uchaguzi mkuu unaofuata.

(c) Kiongozi aliyemaliza muda wa uongozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya kuchaguliwa kuwa kiongozi.

(d) Muda wa Uongozi unaweza kufupishwa kama mamlaka iliyochagua au kuteua itaamua hivyo.

(e) Ibara hii itahusu pia viongozi wa Mabaraza ya Vijana,Wanawake na Wazee wa CHADEMA.
 
Mbowe na slaa wamechakachua katiba ya chama ili kujihalalishia uwepo wao madarakani

khaaaaaa huwa mnapewa nini na mbowe au slaa au mikono yenu na akili vimevia kutwa kuxha .....kutaja wanaume wa wenzenu...mie binafsi nimechoshwa na kumpa promo hao jamaaa
 
Purukushani zilivyotokea

Habari zaidi zinaeleza kuwa katika harakati za kutaka kumnyang'anya Mwigamba kompyuta yake, mwenyekiti huyo wa Chadema mkoani Arusha alianza kushambuliwa na baadhi ya viongozi wa Chadema, kabla ya kufanikiwa kumdhibiti.



Zinaeleza kuwa katika tukio hilo kulitokea pia kurushiana maneno na matusi ya nguoni kati yake na viongozi wengine wa chama hicho akiwamo Lema.
 
Million 80 za kuchapisha kadi toka mwaka 2010 mbowe kalamba,duh kweli hii taasisi ya watu flani
 
Ni kweli hakuna mpya lakini anathibitisha yanayo semwasemwa na ndiyo muhimu zaidi kwa vile alikuwa jikoni.

Haitasaidia kitu kuna watu walitoka chumbani kabisa kina Kabuoru sembuse wa jikoni.
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

Mbona unajivika usemaji mkuu wake??? wasiwasi wako nini?? Au umeguswa?? hahahahahahahah mpo kwa maslahi ya watu na huwa mnatapatapa sana watu wenu wakiguswa.
 
khaaaaaa huwa mnapewa nini na mbowe au slaa au mikono yenu na akili vimevia kutwa kuxha .....kutaja wanaume wa wenzenu...mie binafsi nimechoshwa na kumpa promo hao jamaaa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema polisi wameona hakuna kosa la kisheria lililotokea hasa kutokana na malalamiko yaliyofikishwa kwao dhidi ya Mwigamba ya kukichafua chama kwenye mitandao.
"Hili suala la mitandao ni kubwa na lina taratibu zake sasa kusema tu umechafuliwa na iwe kesi nadhani uchunguzi unahitajika kwao, sisi tumeona haya ni mambo yao wanaweza kuyamaliza wao ndiyo sababu tulimwachia, Mwigamba," alisema Sabas.
 
Viongozi wa chadema wapigana ukumbini


siku hizi deal kuwa cdm unajilegeza kidogo wanakuja ccm wanakupa mshiko m250 unakaa kimya unalianzisha unasepa kwani nini bana ukijiunga ccm direct hupati kitu anzia cdm duuu
 
Chonde chonde Mwigamba HELMET please! Usije ukapigwa tofali ndugu yangu!

Tunakupenda sana kuliko wanavyokupenda CDM
 
Back
Top Bottom