Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

mkuu umelala au rudi kwenye thread ya Mohamedi Mtoi ya majibu ya Mnyika kwa msaada zaidi ikishindikana kamuone daktari a'scan ubongo wako

Mkuu ficha basi ujinga Wako kidogo, mbona Una akili kama mtoto wa kike wa darasa la sita anayetongozwa na kukubali kutiwa mimba kwa sahani ya chips mayai!!!! Hivi kwa akili yako ndogo tu kile alichojibu mnyika ndio sahihi na ukweli?? Je na kile alichijibu Slaa kwa suala hilo hilo ambapo majibu yake yanatofautiana na mnyika, wewe unapenda kuamini kipi au unataka sisi tumuamini nani Kati ya hao!
 
Mwigamba apigwe tu! Ila Mh Lema inampasa sasa aonyeshe utu uzima wake hata nje ya siasa,haijengi picha nzuri kwa Mbunge mzima kuamka na kuanza kumshambulia mtu kama makapurwa wanavyopigana,uheshimiwa una gharama zake,na moja ni hekima ya kutabasamu japo una hasira,na kuwa na uwezo wa kudhibiti hisia zako,Lema ajitazame na achukue hatua,Bado tunamhitaji sana ndani ya jimbo,na ndani ya chama.
nakubaliana na wewe hii tabia ya Lema ya kulipuka hovyo inakiumiza sana chama mbele ya macho ya watu wastaarabu!
 
Mkuu ficha basi ujinga Wako kidogo, mbona Una akili kama mtoto wa kike wa darasa la sita anayetongozwa na kukubali kutiwa mimba kwa sahani ya chips mayai!!!! Hivi kwa akili yako ndogo tu kile alichojibu mnyika ndio sahihi na ukweli?? Je na kile alichijibu Slaa kwa suala hilo hilo ambapo majibu yake yanatofautiana na mnyika, wewe unapenda kuamini kipi au unataka sisi tumuamini nani Kati ya hao!
Samahani mama'angu kama nimekuboa lakini nasikitika bado sijakuelewa zaidi hoja yako iko wapi, me naona Mnyika na Dr.slaa hawajaelewana waje na msimamo upi kabla ya kuja humu jf kutuongopea. Mbona kama hujajipanga ivi mama au mzee hajaacha kodi ya meza?
 
hawa watu wenye hamasa za ki ccm hebu delete futa kabisa , walishapewa hela wana tafuta weakness ndogo walete mtafaruku mkubwa then inakuwa work done , na huyu zitto muangalieni sana anachochea moto kwa style ya kisayansi mno hadi mje mumgundue kazi ipo , yeye anataka tumuweke kiti moto ili atuvuruge zaidi , kwa sasa ni kumuacha tu twende naye kimya kimya huku tukichukulia maangalizo makubwa kwake (intelijensia)
 
Nimesikitika sana Kamanda wenu shupavu, jemedari amepigwa tofali Mbele ya Muasisi? Hajasema chochote? Hakutumia busara zake kumsaidia Mwigamba?

Hivi mathalani Mwigamba lile tofali lingemuua angejisikiaje? Hivi kuna mtu mwenye busara ndani ya CDM? Napata shida sana Mimi!

Wanachama na madhabiki wa CDM mmeyaona ya Mwigamba Leo kwake kesho kwako! Kazi yote aliyoifanya na kumtetea Lema malipo yake TOFALI KICHWANI tena amshukuru Mungu kichwa chake kigumu kingekuwa chako lol ungekiona cha moto!

Sasa Mwigamba ndugu yangu umejifunza mengi ukienda kwenye kikao tena nenda na HELMET kabisa maana lolote litatokea. Wanachama wengine jifunze toka kwa Mwigamba!

Chukua hatua chukia Chamdomo

Mkuu lazima Mzee Mtei anatetea maslahi yake Mbowe hakuwekwa na wanachama kawekwa na Mtei hapo hakuna cha kushangaza hata kimoja; unapotishia maslahi ya Mbowe unatishia maslahi ya familia; Mtei ndiye mwenyekiti wa Chadema Mbowe ni kanyaboya tu!
 
Kwa hiyo unataka harakati zisimame kwa sababu ya ujenzi wa office ili mpate kupumua? hicho sio kipaumbele chetu na nadhani ulizungusha ktk somo la mathematics,unaona million 200 ninyingi sana kuhudumia ofis za cdm kila pembe ya nchi? zihudumie kesi za kipumbav zinazozusha daily na magamba ili kudhoofisha harakati? upo timamu kweli?

wewe ni wale wale akina Tarimo hizo harakati zipo wapi? Harakati kubwa zilizopo ni wao kutafuna ruzuku tu hakuna kingine! Hivi hizi akili za kipunguani mtaacha lini??
 
hawa watu wenye hamasa za ki ccm hebu delete futa kabisa , walishapewa hela wana tafuta weakness ndogo walete mtafaruku mkubwa then inakuwa work done , na huyu zitto muangalieni sana anachochea moto kwa style ya kisayansi mno hadi mje mumgundue kazi ipo , yeye anataka tumuweke kiti moto ili atuvuruge zaidi , kwa sasa ni kumuacha tu twende naye kimya kimya huku tukichukulia maangalizo makubwa kwake (intelijensia)

Zitto ndiye aliwaambia akina Mbowe wakinyofoe kifungu (C) cha ukomo wa Uongozi?Amini nawaambia wafuasi wa Mbowe siku za jamaa yenu kuwa madarakani zinahesabika...Siku za Chama kupata Viongozi wenye maono,wenye kujali demokrasia na uwazi,shirikishi,safi,wenye dhamira ya kweli ya kuing'oa CCM madarakani 2015 haziko mbali.
 
INGEKUWA BUSARA ENDAPO USALITI WA CHAMA NDANI YA LAPTOP YAKE UNGEANIKWA HEWANI ILI WANA CHADEMA WAJIRIDHISHE ZAIDi
 
Back
Top Bottom