Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Mwigamba ana hoja ! CHADEMA inaendeshwa Kidikteta na Mbowe anatakiwa kung'atuka apishe damu changa willingly!
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

umekuwa katibu muhtasi wa mwigamba (secretary)
 
Mkuu ulimaanisha saa nne na nusu ya usiku au asubuhi hii ? Mbona kimya na tayari dakika 15 zimesha katika ama amesha inngia nawe umesahau ku post ?
 
Wamempiga wamempora simu zake na laptop pamoja na pesa.
 
Mwigamba ana hoja ! CHADEMA inaendeshwa Kidikteta na Mbowe anatakiwa kung'atuka apishe damu changa willingly!

Mtandao wa Masalia ni mkubwa sana...Na mfadhili wao tumeshamjua...Hakiak hii vita hamtashinda kamwe...Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu..
 
Mkuu ulimaanisha saa nne na nusu ya usiku au asubuhi hii ? Mbona kimya na tayari dakika 15 zimesha katika ama amesha inngia nawe umesahau ku post ?

Huyo Mwigamba hana lolote la kusema...Kwa kifupi hana jipya...Huenda hata hiyo press haipo...Mtoa thread naona kapotea amebaki Ritz1 anabwabwaja kama ngedere anayetaka kuzaa..
 
Last edited by a moderator:
mkuu ulimaanisha saa nne na nusu ya usiku au asubuhi hii ? Mbona kimya na tayari dakika 15 zimesha katika ama amesha inngia nawe umesahau ku post ?

atachelewa kidogo ameitwa na waziri mkuu mstaafu mara moja!
 
Back
Top Bottom