Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Hajaanza vyema mkuu... Kaanza kinafiki kama kawaida. Hivi hivi ndivyo aliongea akiwasifia viongozi juzi ile kumbe alipokaa aka "submit the new topic"...[/QUOH

hahaaa uko sahihi masalia hawaaminiki!
 
Wakuu kama mnavyojua leo Mwigamba aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari.... ... Nitakuwa nawaletea live kutoka eneo la tukio....... Niko hapa Premier Palace Hotel..... Mda wowote kuanzia sasa Mwigamba ataanza kuzungumza.....

Nawakilisha
====================
Mwingamba ndiyoanaingia..
Awali ya yote napenda kuongea na watanzania na wanaoipenda chadema wanaoipenda chadema na wenye imani na chadma wanao amini kuwa chadema ndiyo mkombozi wao, imani yao hiyo ni sahihi kabisa hata mimi ninaimani hiyo na wale wale wanoamini kuwa yaliyotokea juzi kuwa yataisambalatisha chadema wanakosea, chadema ni taasisi ambayo ni mjumuiko wa watu wengi wenye mitazamo tofauti, ndugu wana habari mimi ndiyo samson Mwigamba mwanachama wa chadema nilijiiunga nikiwa usa river 2004 nikifundisha ukidoma sec...machi 2012 nilichaguliwa kuwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha.Mabadiliko tunayo hitaji yatapatikana kupitia chadema kama wote mjuavyo ni kiongozi pekee niliye andika makala nyingi kuliko kiongozi yoyote pamoja na kutishiwa akiwemo katibu wa bunge na baadae kukamatwa na leo hii nina kesi mahakama ya kisutu, siyo hayo tu baada ya maandamano ya mwaka 2011 mwajiri wangu aliniambia nichague moja kazi au chadema nilichagua chadema bila kujali mshahara wa 1,900,000 niliokuwa nalipwa. nilifanya hivyo kwa mapenzi yangu niliyo nayo chadema na nina amini niko sahihi..
Ukidoma Sec.School mshahara 1,900,000 hii shule international au..
 
Hajaanza vyema mkuu... Kaanza kinafiki kama kawaida. Hivi hivi ndivyo aliongea akiwasifia viongozi juzi ile kumbe alipokaa aka "submit the new topic"...

Looking at it from different angle, tunaishi katika nyakati na jamii ambapo ukweli haupendwi na unaogopwa kuliko uongo. Mwigamba anaendelea kuwa positive kwa alichokifanya akiamini alichokisema alikusudia kilete positive impact kwa chama na jamii nzima. Ni kweli angeweza kuyasema ndani ya kikao as insider, lakini ya ndani hayatakiwi kutoka nje na aliona inatakiwa impact kutoka nje to make it happen ndio sababu aliamua kuongea as an outsider.
Ni muhimu kwa Chadema na wanachadema kutambua kuwa ikiwa chama kinahitaji kuingia madarakani then tegemeo ni wananchi wasio wanachama wa Chadema. Wanachama watasaidia tu kukipigia debe chama lakini kura za wanachama tu ni nyongeza ndogo sana. Kama wanachama wanaamua tu kumhukumu na kumtupa Mwigamba basi impact yake ni kubwa mno kwa wananchi (Wapiga kura) na watu wengine makini. Mwigamba kufanya kosa sio ishu, ishu ni kwanini kaamua kufanya kosa hilo???
 
Kama anaamini Chadema ndicho kitaikomboa Tanzania kwenye ubeberu wa Ccm, sasa anapayuka nini na kuwajaza magamba maneno?
Hii issue yake na viongozi ni issue ndoga sana inayozungumzika, tena anayo hiyo nafasi, kuita waandishi ni utovu wa nidhamu kwa Chadema na wapwnzi wote wa Chadema, au tayari yupo kwenye pay roll ya Lumumba?
Mwigamba tumia busara
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

Mbona unajistukia mkuu?
 
Wakuu kama mnavyojua leo Mwigamba aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari.... ... Nitakuwa nawaletea live kutoka eneo la tukio....... Niko hapa Premier Palace Hotel..... Mda wowote kuanzia sasa Mwigamba ataanza kuzungumza.....

Nawakilisha
====================
Mwingamba ndiyoanaingia..
Awali ya yote napenda kuongea na watanzania na wanaoipenda chadema wanaoipenda chadema na wenye imani na chadma wanao amini kuwa chadema ndiyo mkombozi wao, imani yao hiyo ni sahihi kabisa hata mimi ninaimani hiyo na wale wale wanoamini kuwa yaliyotokea juzi kuwa yataisambalatisha chadema wanakosea, chadema ni taasisi ambayo ni mjumuiko wa watu wengi wenye mitazamo tofauti, ndugu wana habari mimi ndiyo samson Mwigamba mwanachama wa chadema nilijiiunga nikiwa usa river 2004 nikifundisha ukidoma sec...machi 2012 nilichaguliwa kuwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha.Mabadiliko tunayo hitaji yatapatikana kupitia chadema kama wote mjuavyo ni kiongozi pekee niliye andika makala nyingi kuliko kiongozi yoyote pamoja na kutishiwa akiwemo katibu wa bunge na baadae kukamatwa na leo hii nina kesi mahakama ya kisutu, siyo hayo tu baada ya maandamano ya mwaka 2011 mwajiri wangu aliniambia nichague moja kazi au chadema nilichagua chadema bila kujali mshahara wa 1,900,000 niliokuwa nalipwa. nilifanya hivyo kwa mapenzi yangu niliyo nayo chadema na nina amini niko sahihi..
Daima mtu anafanya kazi anyoona inamlipa. Swali langu kwa Samsoni Mwigamba
1. Nini lego na kusudio la andishi lako ukizingatia majira na nyakati ambazo CDM kinazipita kwa sasa kuelekea 2015?.
2. Wewe kama kiongozi mkubwa ndani ya chama na mwenye uwanja mpana wa kutoa hoja zako katika mazingira yoyote ambayo naamini kama kiongozi unajua lipi la kupeleka mtandaoni na lipi la kupeleka vikaoni. Unadhani andiko lako linaleta afya kwa chama cha CDM au linasambaratisha usitawi na ujenzi wa chama?.
3. Unaweza kujitofautishaje na wale mamluki wa CCM ambao wako CDM au wanataka kujiingiza CDM?.
4. Naomba kujua biograph yako. Inaweza ikawa na maana sana kulink target za adui yetu!!!!
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

umejuaje atakayosema kama si ndo yanayotokea?
nikweli hawezi kusema nje ya hapo kwa kuwa ndivyo mlivyo.
 
Watu wenye fikra finyu na wasio na hoja hukimbilia ukabila.

Yaani huyo mtu ni mjinga sijapata kuona.... Huko ccm wachaga wamejaa tele lakini wala hilo halioni!.... Anakimbilia chadema kuzusha yasiyokuwa na ukweli!.... Kuna kipindi alikuja na hoja zito hapendwi cdm kisa ni mwislam leo kaona atoke na ukabila kwa mwigamba... Mjinga sana!
 
Looking at it from different angle, tunaishi katika nyakati na jamii ambapo ukweli haupendwi na unaogopwa kuliko uongo. Mwigamba anaendelea kuwa positive kwa alichokifanya akiamini alichokisema alikusudia kilete positive impact kwa chama na jamii nzima. Ni kweli angeweza kuyasema ndani ya kikao as insider, lakini ya ndani hayatakiwi kutoka nje na aliona inatakiwa impact kutoka nje to make it happen ndio sababu aliamua kuongea as an outsider.
Ni muhimu kwa Chadema na wanachadema kutambua kuwa ikiwa chama kinahitaji kuingia madarakani then tegemeo ni wananchi wasio wanachama wa Chadema. Wanachama watasaidia tu kukipigia debe chama lakini kura za wanachama tu ni nyongeza ndogo sana. Kama wanachama wanaamua tu kumhukumu na kumtupa Mwigamba basi impact yake ni kubwa mno kwa wananchi (Wapiga kura) na watu wengine makini. Mwigamba kufanya kosa sio ishu, ishu ni kwanini kaamua kufanya kosa hilo???

Huwezi kuwa insider and outsider kwa wakati mmoja mkuu. CHADEMA hawajamtupa Mwigamba, wamemsimamisha uongozi. Kwa falsafa yako hii, ina maana wamemleta huku nje tuliko sisi ambako ndipo alikochagua mwenyewe kuongelea... outsider. Kwa sasa Mwigamba ni kama mimi tu, an outsider, aje huku tunamuhitaji kwenye kuongea...
 
hahahahaha kumbe chadema wamebadili hawatembei na sumu tena ni mawe

Buku 7 kwa kubadili maneno hamfai..... Mwigulu anatembea na tindikali nyie mnageuza ni chadema! Musa mmeshampeleka india au mwigulu kaenda nae uingereza?
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

Kwani wewe ni Katibu wake??

Ben, unahitaji kubadilika. Kila siku nakuambia iga vijana wachache wenye BUSARA ndani ya chama chako.

Acha mtu atoe maoni yake, na alichonacho moyoni. Wewe ukiwa unamtetea Mbowe na Slaa kuna wengine wengi ndani ya chama chenu wanaona mapungufu yao.

Au kuna kitu umeahidiwa. ?? Mwenzio Mwigamba alikuwa na CV nzuri na Cheo, ndani ya Chama. Wewe una kipi cha kumshinda?? Au Sumu na Tindikali?

NKUU SINDE, nduguyenu.
 
kwa hoja za hizi chadema watawafukuza wengi:
- wanachama kudai uchaguzi ufanyike.
- wanachama kudai kuondoshwa ubaguzi
- wanachama kudai uwazi kwenye chama
- wanachama kudai taarifa za fedha
- wanachama kudai mipango endelevu na siyo kuendeshwa kwa matukio

ulivyovisema ni vya msingi sana ,,,cdm itabidi wavifanyie kazi,,,,,,huu wakati sio wakuongwa kanga na tshirt,,huu wakati sio wakuendesha chama ki dikteta,,,,,,tunanata mambo ya wazi,,,,maana mtaji wa cdm ni wananchi,,,,,wanachama hao hao wanaokifanya cdm kiwe chama kikuu cha upinzani ndio hao hao walikuwa nccr,updp,ccm,tlp,,,hawatashindwa kutafuta sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom