ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Teh teh teh wapo wengi pale Lumumba eti na wao walikuwa Chadema kwi kwi kwi kwi....Kwi kwi kwi... Mteja mwenyewe kilaza kama shoza.... Acha wajazane vilaza manake ndege wafananao huruka pamoja
Teh teh teh wapo wengi pale Lumumba eti na wao walikuwa Chadema kwi kwi kwi kwi....Kwi kwi kwi... Mteja mwenyewe kilaza kama shoza.... Acha wajazane vilaza manake ndege wafananao huruka pamoja
Ndoto za kuwa mwenyekiti wa bavicha zinakufanya utumike sana
Jamani mwigamba aliahidi kuwa saa nne na nusu ataanza kuzungumza.. Naambiwa na watu walioko eneo la tukio kuwa bado hajatokea mpaka sasa hivi
Teh teh teh kumbe hadi waziri mkuu yumo,lazima atapokelewa Pale Magogoni...atachelewa kidogo ameitwa na waziri mkuu mstaafu mara moja!
Hana jipya zaidi atajikita kwenye kutafuta huruma yetu kwa visingizio vya kuonewa!
Atakuwa anasign cheque kwa waziri mkuu mstaaf..Bdo hajaanza kutema pumba?
Jamani mwigamba aliahidi kuwa saa nne na nusu ataanza kuzungumza.. Naambiwa na watu walioko eneo la tukio kuwa bado hajatokea mpaka sasa hivi
Naskia alipigwa jiwe ndan ya hotel
Mwigamba ndugu yangu usisahau helmet maana jiandae na jihadhari na matofali[/QUOT
kinamsukuma kuhangaika na lichama la watu kama pamekushinda mwigamba nani kakulazimisha toka nenda zako hakuna wa kumzuia anzishe chama chake au aendw anakojuwa ya nini kuvaa helmet..nyerere aluanzusha ccm kafa kaiacha itakzwa yeye
Chadema wamenisikitisha sana,,,,kama wanadai saimon mwigamba amekiuka katiba ya cdm,,,kwa nini waamue kujichukulia sheria mkononi na kuumpiga mwigamba.....kwakweli cdm imenikera sana ,,,,,isitoshe wamefanya hivyo mbele ya mwanzilishi wa cdm mh mtei,,,,,

Wewe uliyegeuka kuwa msemaji wa Mwigamba kabla hata yeye mwenyewe hajazungumza ndio unakiherehere. Acha mipasho kijana unajishusha sana