habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Jamani chonde CDM tuachie baba yetu maana tunamwogopa sana Mzee wa Sumu asije akamdhuru baba yetu! Yeye ni mtu anayetembea na Sumu muda wote!
Usimdhuru Mwigamba chonde chonde ndugu yangu maana nyie hamna dogo hata kidogo!
Chukua hatua chukia chadema!
Usimdhuru Mwigamba chonde chonde ndugu yangu maana nyie hamna dogo hata kidogo!
Chukua hatua chukia chadema!