Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,355
Salakana 1995-2000.
Asante mkuu kwa kunirekebisha... Siku zinakimbia!!!
Salakana 1995-2000.
Safi sana Mhesh. Mbowe, jibu la "Mimi sio gali" lilinatosha. Jibu hilo limfanya Mwandisha wa Habari Leo apauke usoni kama maiti ilipigwa na jua kwa sino.Mwigamba bana.
Eti "Nimepigwa mbele ya gari la Mbowe". Sasa si alilaumu gari. Inakuwaje anamlaumu Mbowe.
Naona Mh. Mbowe amewajibu vizuri kuwa yeye si gari.
Kwahiyo? Usaliti na unafiki ni kurudisha nyuma na kujaribu kuvunja mioyo watu wanaoazimia jambo kwa pamoja. Unaposaliti unategemea pongezi? Mnajifanya watetezi kwa hata upuuzi. Ndio maana hamkomai hampevuki.
Enheeeee..... Hebu funguka zaidi, kwahiyo unataka kusemaje?
kweli we msalani.
Mwigamba ana hoja ! CHADEMA inaendeshwa Kidikteta na Mbowe anatakiwa kung'atuka apishe damu changa willingly!
Hiyo red, una uhakika na hilo? Je ni kwanini mbegu ya udini na ukabila iliyopandwa na Nape & CCM imekuingia kiasi hicho?
Hivi wale madiwani 4 waliotimuliwa CHADEMA wakiongozwa na Estomih Malla ni wa kusini? Watu kama wewe ndio moja ya sababu kuu kwa nini Tanzania ni maskin. Samahani kama nimekuudhi.
Chadema ni genge la waporaji
Hapo Mwigamba anatamani hata kubadilisha Kabila! Madhila yote ameyapata kwa sababu ameingilia ngome ya wachaga!
CCM ni muungano wa mafisadi na wala rushwa!Chadema ni genge la waporaji
siwezi udhika kwa huu ugoro!
watu wazima wanaojadili issue y kutka kuboresha mfumo wa siasa,vilaza kama nyie mnatakiwa kukaa kimya.!
Tunashangzwa na suala la Kutandikwa tena kwa mawe kisa eti umemjadili mwenyekiti.Nyie wa wap?
Siasa ,ziendeshwe kisiasa,siyo siasa+masumbwi?
We ni mjinga
Safi sana Mhesh. Mbowe, jibu la "Mimi sio gali" lilinatosha. Jibu hilo limfanya Mwandisha wa Habari Leo apauke usoni kama maiti ilipigwa na jua kwa sino.
au mavi...