Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Matokeo ya kupigwa na kusimamishwa uongozi Mwigamba linatufunza mambo kadhaa:
  • Kumbe chadema hawapendi kukosolewa na kuna uwezekano mkubwawale wote wanaotumia hii JAMII FORUM nao kufuatiliwa na kupata kipigo au kupata acid
  • Jamii forum itapotea pindi wakipata madaraka kwani hawapo tayari kusikia mawazo mbadala...na magazeti pia tuyasahau....yatakuwepo dizaini ya Tanzania Daima tu..na liki habarisha kinyume litapata kasheshe na mhariri akijitoa basi...Kibanda drama itamtokea ,...
  • hawastahamili na sasa ni ukweli kuwa wale wote ambao sio wa kaskazini hawaaminiwi na chama, wengi ambao wanapigwa vita ni viongozi wanaotoka sehemu nyengine ya jamhuri
  • yale mapambano bungeni sio kwamba wanagombea mambo ya msingi bali ni sehemu ya utamaduni kundi lao kuwa la wapiganaji wa ngumi..kwa maslahi binafsi na si wapiganaji kwa ajili ya wananchi
tuombe...salama..
 
Chadema ni majangiri hivi kweli mtu kusema mbowe ni mwizi na ameficha fedha nje ni kosa?sasa nani azungumzwe?mbowe ni mungu wa arusha?
 
Shetani siku zote hutafuta watu maarufu kama Mwigamba na ili kudhaifisha ukombozi wa wanyonge naona Mwigamba amejirahisi yeye mwenyewe na kuruhusu kichwa chake kutumika na mafisadi. Hata akina Shona walianza hivyo hivyo wakaamua kwenda huko polini ambako wamepotea hadi keksho. Na wewe kuliko kuharibu chama ni vyema kunaenda mapema asubuhi kabla mziki mnene haujaanza kupigwa 2015 maana nchi ikichukuliwa hatuhitaji wanafiki.
 
Acha unafki wewe kuna chama kinatumia mitandao kama chadema,umesahau chama gani wabunge wake walikuwa wanalia Jf ifutwe....
 
wameishazoea ugomvi, kumbuka jana tundulisu amesema wanakwenda bungeni kuanzisha ugomvi zaidi ya ule uliopita. kwa hiyo nawaomba msishangae hiyo ni hulka ya Cdm.

Hiyo siyo hulka ya Chadema ndugu yangu magavumbi 11,hiyo ni hulka ya mabadiliko duniani kote.Jaribu kukumbuka mapinduzi ya Ufaransa kama umeenda shule.
 
Chadema ni majangiri hivi kweli mtu kusema mbowe ni mwizi na ameficha fedha nje ni kosa?sasa nani azungumzwe?mbowe ni mungu wa arusha?

Jangili umemsahau msomali KINANA LUKUVI NA TIMU YAO. Mbowe nimfanyabiashara mkubwa yeye hategemei fedha za Tembo.
 
Acha unafki wewe kuna chama kinatumia mitandao kama chadema,umesahau chama gani wabunge wake walikuwa wanalia Jf ifutwe....

kwa hiyo kama kuna chama ni zimwi ....na nyie mnataka kuwa mashetani ?
ni aibu kama mnafanya yale yale ambayo tunayaona sio sahihi....ikiwa ccm ilisema k=jamii forum ifungwe so na nyie mtaifungia ikikusemi ? tubadilike au wengi hatutoona tofauti na itakua bora zimwi ulijualo....
 
Shetani siku zote hutafuta watu maarufu kama Mwigamba na ili kudhaifisha ukombozi wa wanyonge naona Mwigamba amejirahisi yeye mwenyewe na kuruhusu kichwa chake kutumika na mafisadi. Hata akina Shona walianza hivyo hivyo wakaamua kwenda huko polini ambako wamepotea hadi keksho. Na wewe kuliko kuharibu chama ni vyema kunaenda mapema asubuhi kabla mziki mnene haujaanza kupigwa 2015 maana nchi ikichukuliwa hatuhitaji wanafiki.
Uyu atakuwa msaliti,kakiri kutumia ID feki kwenye mitandao akiwa kama Mwenyekiti,ni sawa na Dr.Slaa au Mbowe atumie ID feki kuhujumu chama alafu anadai anamapenz na chama,huo ni unafki mkubwa,akiwa kama Mwenyekiti nilitegemea aje na ID original kama mwenyekit wa Arusha,je isingejulikana ingekuaje.Nimemsikia kwenye media kamtukana sana Lema..
 
Inashangaza sana mkuu....!

Kaka saanane, tusaidie, hivi jamaa aliingia na ID gani JF pindi akiwa kwenye mkutano? Sidhani kama aliingia kama verified user, itakuwa ni mwendelezo wa yale yale ya akina nice2,freshthinking ,tuntemeke nk.
 
kwa hiyo kama kuna chama ni zimwi ....na nyie mnataka kuwa mashetani ?
ni aibu kama mnafanya yale yale ambayo tunayaona sio sahihi....ikiwa ccm ilisema k=jamii forum ifungwe so na nyie mtaifungia ikikusemi ? tubadilike au wengi hatutoona tofauti na itakua bora zimwi ulijualo....
Wapi chadema imesema ikishika nchi itafungia mitandao ya kijamii kama wewe sio mnafki...
 
Umma wenye nguvu hautishwi na nguvu walizonazo watu, CDM kama TANU Enzi za kudai uhuru, tofauti ni kuwa CDM inatumia teknolojia na akili mingi kuliko Enzi zile
 
Back
Top Bottom