MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
mbowe ni mhuni kama wahuni wengine tu. Chadema ni wauwaji
Umenena Mkuu, ametuma vijana akina Bramo Waje kutukana watu hapa Jamvini!
Last edited by a moderator:
mbowe ni mhuni kama wahuni wengine tu. Chadema ni wauwaji
Sasa kama mtu anajiita Chooni unategemea ataongea nini zaid ya Ushuzi tu...
vijana wote mlopitia umoja wa vijana ccm hamna akili mawazo yenu kama ugolo.........Hapo Mwigamba anatamani hata kubadilisha Kabila! Madhila yote ameyapata kwa sababu ameingilia ngome ya wachaga!
Hapa hakuna itikadi,uliona wapi negotiation na msaliti,apigwe tu...Hekma busara na sheria ndo msingi wa maendeleo.
Wachangiaji wote achen itikadi za vyama venu,bali uharisia wa mambo iwe ndo dira yetu.
Hujajibu swali we kilaza,jibu tuhuma mnazotoa nyie wadini,wakabila wakubwa..siwezi udhika kwa huu ugoro!
watu wazima wanaojadili issue y kutka kuboresha mfumo wa siasa,vilaza kama nyie mnatakiwa kukaa kimya.!
Tunashangzwa na suala la Kutandikwa tena kwa mawe kisa eti umemjadili mwenyekiti.Nyie wa wap?
Siasa ,ziendeshwe kisiasa,siyo siasa+masumbwi?
We ni mjinga
ccm...chama cha kihuni sana hiki
Mwalimu ule mtaji wa visheti umeisha...mbowe ni mhuni kama wahuni wengine tu. Chadema ni wauwaji
mbowe ni mhuni kama wahuni wengine tu. Chadema ni wauwaji
Ungekua na sifa hizo ungezamia mishikaki mondoli.Punguza uroho.Mwenyekiti mzima wa UVCCM mkoa unazamia mishikaki unaita ni mojawapo wa mbinu za kisiasa?Grow up!
Umenena Mkuu, ametuma vijana akina Bramo Waje kutukana watu hapa Jamvini!
Kama ana HOJA ya msingi kama anavyodai kwa nn Mwaigamba hakuwahi kusema haya kikaoni?KUSEMA HOJA ya msingi hadi ubadili ID yako?
CCM ilikuwakuta hii Kyela mwaka 2000 wakati MB wa zamani Lumuli Kasyupa alipokuwa mchana anaiunga mkono CCM usiku anamsaidia Mwakasumi wa TLP,alipogundulika MKAPA uwanja wa Mwakangale akamwambie ajiondoe mwenyewe chamani!
Mwigamba kama kiongozi mkubwa CHADEMA kwa nn akawa anajificha anapotoa dukuduku lake?Baada ya kupitia maelezo yote Mwigamba anastahili afukuzwe haraka,hafai!
cc Ben Saanane Tumaini Makene,
Ben,
Narudia kukueleza, mimi sina nafasi wala cheo chochote ndani na nje ya UVCCM! Usinipe sifa ambazo sistahili.
wameishazoea ugomvi, kumbuka jana tundulisu amesema wanakwenda bungeni kuanzisha ugomvi zaidi ya ule uliopita. kwa hiyo nawaomba msishangae hiyo ni hulka ya Cdm.Umenena Mkuu, ametuma vijana akina Bramo Waje kutukana watu hapa Jamvini!
wameishazoea ugomvi, kumbuka jana tundulisu amesema wanakwenda bungeni kuanzisha ugomvi zaidi ya ule uliopita. kwa hiyo nawaomba msishangae hiyo ni hulka ya Cdm.
Kwanini Viongozi wote wenye nguvu katika Chama kama Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Mkurugenzi wa fedha,nk ni kutoka Kaskazini?Mbaya zaidi hawataki kuitisha uchaguzi wa chama kwa kisingizio cha mamluki kupenyezwa,sawa zitto si anajulikana?je akina Arfi,Safari na Lissu nao ni virusi?