Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Rutunga.
Hoja unayotaka kuijenga inakosa nguvu kama ukijiuliza ilikuwaje yeye Mwigamba Samson akawa Mwenyekiti huko Kaskazini?? tena kwenye ngome hasa ya chama??
Nafikiri hata Golugwe sio jina la makabila ya Kaskazini, lakini ni kiongozi wa Kanda, je umepeata kujiuliza hili swali??
Kama ukijibu haya maswali kwa uaminifu, basi hoja yako inakosa mashiko.

Kwanini Viongozi wote wenye nguvu katika Chama kama Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Mkurugenzi wa fedha,nk ni kutoka Kaskazini?Mbaya zaidi hawataki kuitisha uchaguzi wa chama kwa kisingizio cha mamluki kupenyezwa,sawa zitto si anajulikana?je akina Arfi,Safari na Lissu nao ni virusi?
 
Hiyo red, una uhakika na hilo? Je ni kwanini mbegu ya udini na ukabila iliyopandwa na Nape & CCM imekuingia kiasi hicho?

Hivi wale madiwani 4 waliotimuliwa CHADEMA wakiongozwa na Estomih Malla ni wa kusini? Watu kama wewe ndio moja ya sababu kuu kwa nini Tanzania ni maskin. Samahani kama nimekuudhi.
Asante sana mkuu,hakuna haja ya kumuomba samahani uyo shetani wa udini,ukabila,rangi...
 
haha REd brigade kazini!
Nime note kijana Noel atakuwa gaidi tu
 
Mwigamba ajiunge na Hamad Rashid, hoja zao zinafanana. Unapinga watu kugombea wakati uchaguzi bado ndani ya chama?
 
Hakunaga cdm ukileta longolongo we chako kipondo tu 100% hii ndo dawa ya mandumilakuwili argent of ccm.safi sana lema .mbowe,na wote mnashulika na politics safisha vizabinazabina.....hawajui watu wameinvest kwenye chama miaka kibao hadi maisha yao yakaathirika.peoples poweersssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa Mbona kwenye yale Maandamano yenu yasiyo na tija, mkipewa kichapo mnabaki mnalia lia kama watoto! Kweli Pinda hakukosea aliposema mtandikwe tu. Nidhamu yenu hairidhishi.
 
Jamaa alipigwa sana na vijana wa Chadema.
Kwahiyo? Usaliti na unafiki ni kurudisha nyuma na kujaribu kuvunja mioyo watu wanaoazimia jambo kwa pamoja. Unaposaliti unategemea pongezi? Mnajifanya watetezi kwa hata upuuzi. Ndio maana hamkomai hampevuki.
 
Khaa!! hebu mwenye profile ya Mwigamba aimwage hapa iwe na details kama elimu, mar stat,kabila, dini na nyinginezo . Tusije kuwa tunachoshana akili kumbe kuna details nyingine muhimu zinaweza kutupa ukweli wa jambo hili :A S 39:
 
Kwanini Viongozi wote wenye nguvu katika Chama kama Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Mkurugenzi wa fedha,nk ni kutoka Kaskazini?Mbaya zaidi hawataki kuitisha uchaguzi wa chama kwa kisingizio cha mamluki kupenyezwa,sawa zitto si anajulikana?je akina Arfi,Safari na Lissu nao ni virusi?
Uchaguzi wa chama hufuata katiba,(soma katiba ya chama) sio kiongozi/ viongozi wakiamua tu wanaitissha wakati wowote. usipoelewa jambo hakikisha unafuatilia kabla ya kujenga hoja juu yake. huu ndio ukomavu. ushabiki wa kitoto hauwakomazi kamwe.
 
Naona umejikita kujadili majina ya watu, ukasahau mada iliyopo mezani ya Mbunge wa Arusha kumponda mawe Mwenyekiti halali wa CHADEMA Arusha.

Sasa kama mtu anajiita Chooni unategemea ataongea nini zaid ya Ushuzi tu...
 
Hapo Mwigamba anatamani hata kubadilisha Kabila! Madhila yote ameyapata kwa sababu ameingilia ngome ya wachaga!
 
Vyuo1.JPG
Huyu jamaa ndio nani na pink pen/pencial?
 
Kama ana HOJA ya msingi kama anavyodai kwa nn Mwaigamba hakuwahi kusema haya kikaoni?KUSEMA HOJA ya msingi hadi ubadili ID yako?

CCM ilikuwakuta hii Kyela mwaka 2000 wakati MB wa zamani Lumuli Kasyupa alipokuwa mchana anaiunga mkono CCM usiku anamsaidia Mwakasumi wa TLP,alipogundulika MKAPA uwanja wa Mwakangale akamwambie ajiondoe mwenyewe chamani!

Mwigamba kama kiongozi mkubwa CHADEMA kwa nn akawa anajificha anapotoa dukuduku lake?Baada ya kupitia maelezo yote Mwigamba anastahili afukuzwe haraka,hafai!

cc Ben Saanane Tumaini Makene,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom