Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 501
Mkuu hata Mimi nimehuzunishwa sana kusikia jamaa Kala kichapo. Lakini kwanini engine wajione miungu?? Watz hatutaki ujinga wa aina hii. Kutofautiana tu mawazo MTU Amish kuwa salia? Nazi kweli kweliHivi ni kwa nini watenda maovu na wasaliti ndani ya CDM wawe ni kutoka nje ya kaskazini?
hili suala linaleta shida sana kwa chama makini kama CDM.
Iweje katika chama kuwepo watu ambao wao wanafikiri ndiyo chama wengine wanaweza hata kutandikwa kama mtoto kisa katofautiana na wengine.
Sipendi hii move kwa kweli,kama mtu kakosea,kuna taratibu za chama siyo kipigo jamani!
Hivi nchi itaongozwa kwa mfumo huo.kama mtu yeyote anayekupinga solutuion ni kipigo hii ni aibu sana.
Pamoja na Usaliti wa Mwigamba lakini adhabu ya kipigo tena kwa mawe sikubaliani nayo hata kidogo.