Heche, Lema wakutanishwa kuyajenga

Heche, Lema wakutanishwa kuyajenga

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,870
Reaction score
3,146
Heche lema.png

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.

Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
 
View attachment 3672843

Watu makini
 
"Migambo wanaruka na kukanyagana......!"

Ahahahahaha! Huu wimbo ulikuwa mzuri sana!
 
View attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.

Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
Mchaga keshakula pesa za watu huyo hana namna ataanzisha tena vagi maana pesa zitammaliza
 
View attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.

Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
Wahenga walisema "penye ufa jenga ukuta". Nawatakia kila heri katika kupambania mageuzi ya kweli kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa letu na dhidi ya mkoloni mweusi Chama Cha Mafisadi (CCM).
 
Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Dah!
Mkuu ''Para', ungetafuta picha nyingine, au ukaacha kabisa kuweka picha maana hii hapa tayari inazungumza mengi hata kabla ya kusoma hayo uliyoweka kwa maandishi.

Ukweli ni huu; sumu ya aina hiyo aliyomwaga Lemaa ikishaingia akilini mwake, na kwa watu wanaofuatilia hali ya chama ilivyo sasa na kilipokuwa kabla ya uongozi mpya kuingia; hata angekuwa ni mwigizaji mzuri sana, hawezi kuiondoa sumu hiyo iliyoenea akilini mwake na kwa wafuatiliaji wa habari husika.

Sioni "upatanishi" unaoweza kurudisha hali ilivyokuwa kabla ya matatizo ya sasa kati ya wawili hawa.

Kwa hiyo, binafsi nihesabu kuwa mmoja wa wasioamini kuhusu kufutika/kwisha kwa matatizo.

Ukisema kesho Tundu Lissu kiongozi wa chama anatoka gerezani na kuja kuweka mguu chini kuhusu nidhamu kwa kila aliyemo humo; hapo naweza kuanza kukusikiliza unachoeleza. Siyo haya hapa.
 
View attachment 3672843
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema wakiwa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala leo Septemba 17, 2026 jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimefanyika wakati kukiwa na madai ya kutuhumiana na kurushiana maneno baina ya viongozi na wanachama wa chama hicho ambayo yamekuwa yakionekana katika majukwaa ya mitandao ya kijamii, madai ambayo yamewahusisha pia wanaharakati.

Kikao hicho kimetajwa kuwa sehemu ya jitihada za kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

Soma pia: Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?
Ni nani alie wakutanisha fisadi na msaliti?🐒
 
Kwani da Mange wenu anasemaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom