Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

kuliko ile ya magamba ya kutaka kumpora rais uenyekiti wa chama?
hebu tupe dondoo za siri hiyo mkubwa!!
unaonekana kujua mengi ya cdm kuliko yale ya ugambani unakoishi kwa b7.

mzee makamba na spichi yake ya kura za maruhani
 
Wakuu kama mnavyojua leo Mwigamba aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari.... ... Nitakuwa nawaletea live kutoka eneo la tukio....... Niko hapa Premier Palace Hotel..... Mda wowote kuanzia sasa Mwigamba ataanza kuzungumza.....

Nawakilisha
====================
Mwingamba ndiyoanaingia..
Awali ya yote napenda kuongea na watanzania na wanaoipenda chadema wanaoipenda chadema na wenye imani na chadma wanao amini kuwa chadema ndiyo mkombozi wao, imani yao hiyo ni sahihi kabisa hata mimi ninaimani hiyo na wale wale wanoamini kuwa yaliyotokea juzi kuwa yataisambalatisha chadema wanakosea, chadema ni taasisi ambayo ni mjumuiko wa watu wengi wenye mitazamo tofauti, ndugu wana habari mimi ndiyo samson Mwigamba mwanachama wa chadema nilijiiunga nikiwa usa river 2004 nikifundisha ukidoma sec...machi 2012 nilichaguliwa kuwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha.Mabadiliko tunayo hitaji yatapatikana kupitia chadema kama wote mjuavyo ni kiongozi pekee niliye andika makala nyingi kuliko kiongozi yoyote pamoja na kutishiwa akiwemo katibu wa bunge na baadae kukamatwa na leo hii nina kesi mahakama ya kisutu, siyo hayo tu baada ya maandamano ya mwaka 2011 mwajiri wangu aliniambia nichague moja kazi au chadema nilichagua chadema bila kujali mshahara wa 1,900,000 niliokuwa nalipwa. nilifanya hivyo kwa mapenzi yangu niliyo nayo chadema na nina amini niko sahihi..

so what!
 
Usimlishe maneno kaka, mwache aongee kwanza (hii ni style ya kudilute kosa),

Unakuwa kama baba aliyegombana na Housegirl aliyekuwa anatembea naye, sasa mama akiuuliza vipi? Baba anadakia akisema, "Huyu mpuuzi sana, eti anataka kusema mi nilikuwa natembea naye".

Ukweli utajulikana tu.

Duh ulikosa mfano mwingine au madhara ya addiction kisaikolojia?Haya asante maana JF ni burudani na kero pia
 
Kama Mwigamba atajibu maswali haya, tutamwelewa. akijikanyaga tu!!!!. Aende kwa shonza na Juliana hajachelewa bado fungu limetengwa kwa kazi yao ya kishetani!!.

Swali la kwanza:
1. Nini lengo na nia ya andishi lako mtandaoni?.
2. Ukiwa kama kiongozi, unajua hali ambayo CDM inapitia kisiasa kwa sasa?. kama unafahamu unadhani kubadili uongozi kutaleta afya kwa chama au maafa?.
3. Unaweza kuwasemeaje ama unaweza kujitofautishaje na masalia waliofukuzwa ndani ya CDM?.
4. Wewe kama mwanadam, unajua kuwa ipo siku utahukumiwa mbele za Mungu kwa nia yako Ovu au safi.Unajipimaje katika mazingira ya hukumu ya Mungu na nia/lengo la andishi lako na haya unayojinasibu kuwa hukuwa na nia mbaya?

Mbona hii kila mtu mwenye reasoning ya kawaida tu anaweza kujibu haya maswali!

1. Ni baada ya kuona kila malalamiko yanayotolewa kwa njia sahihi (kwenye VIKAO HALALI VYA CHAMA) hayafanyiwi kazi, tena aliyelalamika anaishiwa kutishiwa na GREEN GUARD

2. Hali inajulikana, pamoja na hiyo hali bado haitoshi kuwa excuse ya kushindwa kutimiza ratiba tulizojiwekea sisi wenyewe kwenye VIKAO HALALI VYA CHAMA bila kuwasiliana na wajumbe waliokaa mwanzoni kwenye kuipitisha, je huoni kama hiyo hali inaweza kuwa inasababishwa na sisi Viongozi Wenye Maamuzi kushindwa kutekeleza majukumu yetu? Achilia mbali kuweka target ambazo sio achievable! Sasa kama jibu ni ndiyo, kwa nini hawa viongozi wanaoweka malengo wasiyoweza kufikia halafu baadaye wanabadili ratibu kimya kimya wasipumzishwe?

Vipi kuhusu kipindi kigumu kama kinasababishwa na matumizi mabaya ya fedha? Tunashindwa kuimarisha mashina ya chama kwa sababu hela ziko mifukoni mwa wachache! Kwa nini wasipumzike?

Report ya Mwigamba imegusia juu ya hela ya Sabodo, Ruzuku, michango ya harambee (fund raising), michango ya pale mikutanoni (sadaka) na uuzaji/ununuaji wa vifaa bila kamati ya manunuzi kushirikishwa! Je hawa kwa nini wasipumzike?

3. Masalia ni masalia, chama kama chama tunahitaji kuwa na njia nzuri ya kureport issues bila kujulikana ni nani aliyereport (whistleblowing), sasa kama mtu akireport taarifa zinavujishwa unategemea tulalamike wapi kama sio kwa wananchi/wanachama?

4. Ya Mungu mwachie Mungu, ya Kaisari mwachie Kaisari; kwa nini msijitetee kwa point! Mfano, toeni report za mapato na matumizi (monthly, quarterly na annually), leteni katiba ya 2004, leteni minutes za vikao vya katiba ya 2006, leteni katiba mpya. Elezeni kwa nini operesheni zinastop kinyemela, zinaanzishwa zingine bila vikao HALALI VYA CHAMA.

Baada ya kuleta haya, tujadiri ukweli wa kile mnachokisimamia, je ni kweli mnataka kutukomboa? Au mnataka kututumia?

Asante, uliza maswali mengine.
 
Wakuu kama mnavyojua leo Mwigamba aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari.... ... Nitakuwa nawaletea live kutoka eneo la tukio....... Niko hapa Premier Palace Hotel..... Mda wowote kuanzia sasa Mwigamba ataanza kuzungumza.....

Nawakilisha
====================
Mwingamba ndiyoanaingia..
Awali ya yote napenda kuongea na watanzania na wanaoipenda chadema wanaoipenda chadema na wenye imani na chadma wanao amini kuwa chadema ndiyo mkombozi wao, imani yao hiyo ni sahihi kabisa hata mimi ninaimani hiyo na wale wale wanoamini kuwa yaliyotokea juzi kuwa yataisambalatisha chadema wanakosea, chadema ni taasisi ambayo ni mjumuiko wa watu wengi wenye mitazamo tofauti, ndugu wana habari mimi ndiyo samson Mwigamba mwanachama wa chadema nilijiiunga nikiwa usa river 2004 nikifundisha ukidoma sec...machi 2012 nilichaguliwa kuwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha.Mabadiliko tunayo hitaji yatapatikana kupitia chadema kama wote mjuavyo ni kiongozi pekee niliye andika makala nyingi kuliko kiongozi yoyote pamoja na kutishiwa akiwemo katibu wa bunge na baadae kukamatwa na leo hii nina kesi mahakama ya kisutu, siyo hayo tu baada ya maandamano ya mwaka 2011 mwajiri wangu aliniambia nichague moja kazi au chadema nilichagua chadema bila kujali mshahara wa 1,900,000 niliokuwa nalipwa. nilifanya hivyo kwa mapenzi yangu niliyo nayo chadema na nina amini niko sahihi..

Nimesikitishwa sana na haya yaliyotokea arusha naanza kupata mashaka kama ukombozi wa kweli tuliokuwa tunautafuta kupitia CDM utapatikana. Ninasema hivyo kwa kuwa kilichotokea arusha ni ishara mbaya kwa chama ambacho kimekuwa kipenzi cha watu wengi na sasa inaonekana dhahiri kuna vita ya madaraka imeanza ndani ya CDM. Pia hakuna kuaminiana tena huyu jamaa inadaiwa alipigwa kwa sababu ya kudaiwa kuwa anatumiwa na Zitto kukihujumu chama kwa mantiki hiyo wanachadema hawana imani na zitto ambaye ni mmoja wa viongozi wakuu wa chama na amekuwa ktk chama kwa muda mrefu. Nina dhani kwa mtazamo wangu CDM ingefocus kwenye kujenga chama wakati huu tunapokaribia uchaguzi mkuu wa 2015 na si kujikita kwenye malumbano ya kuwa fulani anahujumu chama kama ushahidi upo huyo anayehujumu chama aondolewe na chama kisonge mbele. Huku tuendako si kunzuri naanza kuiona CDM ikijijengea taswira mbaya machoni pa wananchi ambao tuliamini kuwa CDM ndiyo mkombozi wetu. Tunaanza kupata taswira ya tofauti kuwa si chama cha ukombozi tena wa tanzania bali ni kichaka cha kutafuta madaraka kwa maslahi binafsi kama ilivyo CCM.
 
kama haweki updates hii thread ifungwe tu bana
 
Baadhi yetu tunaendelea na imani za chama kwanza mengine baadaye, kama kiapo cha kutetea na kulinda chama kwa lolote na hali yoyote, ni kifungo fulani dhidi ya free thinking.
We need those people who are courageous enough to speak out when they notice the faults, wrong things which go unspoken by ordinary people. Mwigamba asionekane tu mnafiki na mchafuzi wa hewa hapo Chadema, Mwigamba ni whistle blower tu, kasema ambayo wengine hawadiriki kusema kwa kuhofia kupoteza nafasi zao, ushahidi ni njia aliyoitumia.
Adui yetu????? Adui wa Chadema ni nani?? CCM???? Think again!!
King Protista naungana na wewe mkono kwa asilimia za kutosha, ila tukubali kuwa Mwigamba alikosea kwa kutokutumia vikao rasmi vya chama kukikosoa chama. alichokifanya hakihalalishi yeye kupigwa kama inavyosemekana na wala hakihafifishi ukweli wa aliyozungumza (Kama kuna ukweli). Kimsingi alitakiwa kukomaa na vikao rasmi vya chama. Swali la msingi na ambalo tunapaswa kupata majibu yake kupitia ni; kwa nini hakutumia vikao rasmi. Kwa bahati nzuri namfahamu Mwigamba vizuri tu; si mtu mwoga! Je inawezekana democrasia ya ndani ya chama haiko vizuri, na ndo maana akaamua kuufikisha ujumbe kwa wananchi kwa njia nyingine?

Binafsi nisingekuwa wa kwanza kumrushia Mwigamba Mawe sababu najua kuwa watu wakizibiwa channels za communication naturally wanatafuta njia mbadala. Isije ikawa tuna-protect ouvu na ukiukwaji wa katiba ya chama eti kwa sababu kuna by-election mwaka kesho na general election 2015, hivyo tumaintain status quo???.

Kweli Mwigamba Katusaliti lakini tunahitaji kufanyia kazi hoja zake!

VIVA CHADEMA!
 
yaan sredi nzima imejaa porojo...... muanzisha mada kakimbia daah!
 
Duh ulikosa mfano mwingine au madhara ya addiction kisaikolojia?Haya asante maana JF ni burudani na kero pia

Huu ni mfano mrahisi kuuona ukweli, mtu akiona kuna mtu yuko tayari kumuumbua anajitetea kwa kuanza kujitaja mwenyewe, kama ulivyofanya.

Mimi sio mwanachama wa chama chochote, lakini ni mpiga kura mwelewa na mhitaji wa kuelewa, haya maswali nayowauliza yananisaidia mimi kufanya assessment ya je ni nyinyi ndio Yohana alisema mtakuja? Au tuwasubiri wengine?

Nina uhakika, Chama kama Chama mnazo changamoto nyingi, hii ikiwa mojawapo; kumbuka CCM yaliyowakuta juu ya watu waliotaka kusema ukweli, mfano wa Kolimba na Kighoma Ali Malima, kuna watu uvumilivu wa kusibiri VIKAO HALALI VYA CHAMA (Mwigamba ameeleza kwenye report yake ya awali juu ya agenda ya Fedha kurukwa kila kikao), ni lazima muwe na controls za ku-address hizi risk, kwa sababu kwa chama chenye malengo ya kuchukua nchi hii ni potential risk, I mean watu kuropoka maovu ya chama kwenye jumuia (tena maovu ya kweli).

Asante.
 
Baadhi yetu tunaendelea na imani za chama kwanza mengine baadaye, kama kiapo cha kutetea na kulinda chama kwa lolote na hali yoyote, ni kifungo fulani dhidi ya free thinking.
We need those people who are courageous enough to speak out when they notice the faults, wrong things which go unspoken by ordinary people. Mwigamba asionekane tu mnafiki na mchafuzi wa hewa hapo Chadema, Mwigamba ni whistle blower tu, kasema ambayo wengine hawadiriki kusema kwa kuhofia kupoteza nafasi zao, ushahidi ni njia aliyoitumia.
Adui yetu????? Adui wa Chadema ni nani?? CCM???? Think again!!

Kaka mbona unaonyesha unajua kufikiria halafu huoni uongo na dhamira isiyonjema ya mwigamba,kama kweli ananianjema na chama anazo fulsa nyingi za kusemea na sio kuleta mambo kwania isiyo njema,na wadau wameshasema kwamba wakati wa kikao aliwasifia viongozi wa taifa kwa unafki,kwa nini asingetumia wakati watasmini wa kanda ya kaskazin kama fulsa yakuyazungumza mambo ya kuyasahihisha,anabandiko kwenye magazeti angeweza kutoa kwa namna ambayo ingekuwa mawazo ya kuboresha chama kwa muda mrefu na watu tungemueelewa,ukisoma majibu ya dr slaa na mnyika unajilizisha wazi mshikaji hakuwa na nia njema,tukue jaman tusiwe sawa na kina zecom na timu yake ambao ajira yao ni kukichafua chama ambacho kikoo kwa wananchi wenyewe na wala sio viongozi tena,leo hii hata mbowe akiondoka chadema itakuwepo
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

tulia mkaanga sumu mkubwa ww,umekuwa shekhe yahaya
 
Ben, Please acha kwanza. Yo know what I mean,,please

Mkumbushe pia, Aige wenzake wanaojua mambo ya siasa vizuri!

Mkumbushe pia , Tabia zake/ kiherehere/ Sumu / Tindikali zina mwisho wake!

Mkumbushe pia aongeze ELIMU ya uraia na maarifa mengine ya Siasa.
 
Umepata chakula cha mchana lakini? Au ndo mapambano yamepamba moto?

Masalia bwana tangu mulivyovuliwa shanga na Ben mukimuona vichwa vinawauma attack zenu zote kwa Ben ha ha ha jamvi hili raha tupu
 
Mkuu mbona wanoshughulikiwa ni watu kanda ya ziwa tu kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba na Shibuda nk. kuna nini hapo?

kumbe Zitto ni wakanda ya ziwa? Poor reference!
 
Back
Top Bottom