Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Wakuu kama mnavyojua leo Mwigamba aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari.... ... Nitakuwa nawaletea live kutoka eneo la tukio....... Niko hapa Premier Palace Hotel..... Mda wowote kuanzia sasa Mwigamba ataanza kuzungumza.....

Nawakilisha
====================
Mwingamba ndiyoanaingia..
Awali ya yote napenda kuongea na watanzania na wanaoipenda chadema wanaoipenda chadema na wenye imani na chadma wanao amini kuwa chadema ndiyo mkombozi wao, imani yao hiyo ni sahihi kabisa hata mimi ninaimani hiyo na wale wale wanoamini kuwa yaliyotokea juzi kuwa yataisambalatisha chadema wanakosea, chadema ni taasisi ambayo ni mjumuiko wa watu wengi wenye mitazamo tofauti, ndugu wana habari mimi ndiyo samson Mwigamba mwanachama wa chadema nilijiiunga nikiwa usa river 2004 nikifundisha ukidoma sec...machi 2012 nilichaguliwa kuwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha.Mabadiliko tunayo hitaji yatapatikana kupitia chadema kama wote mjuavyo ni kiongozi pekee niliye andika makala nyingi kuliko kiongozi yoyote pamoja na kutishiwa akiwemo katibu wa bunge na baadae kukamatwa na leo hii nina kesi mahakama ya kisutu, siyo hayo tu baada ya maandamano ya mwaka 2011 mwajiri wangu aliniambia nichague moja kazi au chadema nilichagua chadema bila kujali mshahara wa 1,900,000 niliokuwa nalipwa. nilifanya hivyo kwa mapenzi yangu niliyo nayo chadema na nina amini niko sahihi..
==============
Sasa Mwigamba anaelezea namna ilivyokuwa siku hiyo anasema Lema aliingia kwenye ukumbi akamkuta mwenyekiti akitoa speech lema akiw na IPAD mkononi akaa sehemu yake lakini baada ya muda akasimama na kumwambia mwenyekiti samahani kuna jambo la dharua.. lema akaanza kuelezea alichokiona kwenye mitandao, Selesini akanyosha mkono kumuomba lema asome kilicho bandiko husika. alipo maliza wakatoa pendekezo kuwa laptop ikabidhiwe meza kuu akiwa bado hajawaambia anakadhidhi ama laah lema alifika na kumnyakua ile laptop na kumwita mwenyekiti wa chadema mkoa wa manyara mabae ni mtaalamu wa IT akaiwasha wakagundua inapassword Mwigamba hakuona tatizo kutoa password akatoa wakaanza kulinganisha path na kujiridhisha kuwa ilitoka kwake basi ile laptop ikarudishwa meza kuu

Mwaka 2011, Mwalimu Secondary na mshahara wa Tsh. 1,900,000/= mbona inaonyesha wazi huyu jamaa ni muongo? yaani hata mkuu wa Idara Secondary wakati huo alikuwa hapokei kiasi hicho cha fedha.
 
Kaka mbona unaonyesha unajua kufikiria halafu huoni uongo na dhamira isiyonjema ya mwigamba,kama kweli ananianjema na chama anazo fulsa nyingi za kusemea na sio kuleta mambo kwania isiyo njema,na wadau wameshasema kwamba wakati wa kikao aliwasifia viongozi wa taifa kwa unafki,kwa nini asingetumia wakati watasmini wa kanda ya kaskazin kama fulsa yakuyazungumza mambo ya kuyasahihisha,anabandiko kwenye magazeti angeweza kutoa kwa namna ambayo ingekuwa mawazo ya kuboresha chama kwa muda mrefu na watu tungemueelewa,ukisoma majibu ya dr slaa na mnyika unajilizisha wazi mshikaji hakuwa na nia njema,tukue jaman tusiwe sawa na kina zecom na timu yake ambao ajira yao ni kukichafua chama ambacho kikoo kwa wananchi wenyewe na wala sio viongozi tena,leo hii hata mbowe akiondoka chadema itakuwepo

Asante kw mchango wako mkuu,
Hebu jaribu kujivika nafsi ya Mbowe, Slaa, Lema au mtu mwingine yeyote aliyekuwa ndani ya kikao kile alichosifia chama (Tafsiri yangu; aliongea walichopenda kusikia wasikilizaji wake), halafu try to imagine Mwigamba anaongea yale aliyoandika kwenye ule wito wake. Vuta picha kwa umakini reaction ya members na hatua inayochukuliwa, usisahau yote hayo yanaishia humo ukumbini bila mimi na wewe kujua kilichotokea (Nzuri sana kwa afya ya chama(???)).
Halafu jaribu kufikiria mfano wa Edward Snowden na issue yake ku-leak US intelligence classified information na impact yake inayoendelea kutikisa taifa la marekani hadi leo (zingatia manufaa na hasara zake), sasa hebu jaribu tena ku-imagine kwamba taarifa hizo Snowden angeamua kuzisema kwa senior officers wa usalama wa Marekani indoors, nini ingekuwa impact yake leo hii?
Katika process ya kufua nguo ili ziwe safi kuna kusugua na kukunjakunja vibaya sana ila mwisho wa siku ndio nguo inakuwa safi, na ili uwe na afya njema inakubidi kwenda chooni sometimes, kwa nia njema tu!
 
Lakini kwanini kila anaeikosoa chadema anakuwa ni msaliti? Mnataka wanachama tuwe mazoba? Nilikiamini Sana chadema ila imani imenipungua sana
 
ndio maana baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliandika kitabu TUJISAHIHISHE,so ni lazima CHADEMA mjisahihishe
 
Duhh!! Nijuavyo press kama hizi huwa hazizidi saa 1. Lakini nashangaa update inatoka mistari mitatu kila baada ya masaa mawili!!!! Au anasoma kwanza JF ili apate point za kuongea!!!??

UNAFIKI NI MBAYA SANA!!
 
Kaka mbona unaonyesha unajua kufikiria halafu huoni uongo na dhamira isiyonjema ya mwigamba,kama kweli ananianjema na chama anazo fulsa nyingi za kusemea na sio kuleta mambo kwania isiyo njema,na wadau wameshasema kwamba wakati wa kikao aliwasifia viongozi wa taifa kwa unafki,kwa nini asingetumia wakati watasmini wa kanda ya kaskazin kama fulsa yakuyazungumza mambo ya kuyasahihisha,anabandiko kwenye magazeti angeweza kutoa kwa namna ambayo ingekuwa mawazo ya kuboresha chama kwa muda mrefu na watu tungemueelewa,ukisoma majibu ya dr slaa na mnyika unajilizisha wazi mshikaji hakuwa na nia njema,tukue jaman tusiwe sawa na kina zecom na timu yake ambao ajira yao ni kukichafua chama ambacho kikoo kwa wananchi wenyewe na wala sio viongozi tena,leo hii hata mbowe akiondoka chadema itakuwepo
Habari Umbwe1.,lile chama letu nn?
 
Lakini kwanini kila anaeikosoa chadema anakuwa ni msaliti? Mnataka wanachama tuwe mazoba? Nilikiamini Sana chadema ila imani imenipungua sana
leo ata maruhani wa ccm watakuwa wanachadema chapa lapa kama nawe msaliti hakuna kuruhusu watu wakukamata wenzao miguu unapaswa kuongea ukweli sio kutunga mambo ili uharibu sifa ya chama chako
 
Lakini kwanini kila anaeikosoa chadema anakuwa ni msaliti? Mnataka wanachama tuwe mazoba? Nilikiamini Sana chadema ila imani imenipungua sana

mwanachama kwa kadi ipi? Nenda zako hata CCM kwani lazima CDM tu?
 
mnamwogopa Dr Slaa kama ukoma. Usingizi kwishine.
John Mnyika anasema katiba ya 2004 inakipengele cha uongozi wa vipindi viwili wakati huo huo Dr.Slaa anasema ya 2004 haina kipengele hicho, Sasa kamanda WHO IS TELLING THE TRUTH KATI YA HAWA WAWILI????
 
Masalia bwana tangu mulivyovuliwa shanga na Ben mukimuona vichwa vinawauma attack zenu zote kwa Ben ha ha ha jamvi hili raha tupu

ni kweli gaidi si mwenzako na lazima uwe macho naye la siyo mambo ya westget
 
Wakuu kama mnavyojua leo Mwigamba aliahidi kuzungumza na waandishi wa habari.... ... Nitakuwa nawaletea live kutoka eneo la tukio....... Niko hapa Premier Palace Hotel..... Mda wowote kuanzia sasa Mwigamba ataanza kuzungumza.....

Nawakilisha
====================
Mwingamba ndiyoanaingia..
Awali ya yote napenda kuongea na watanzania na wanaoipenda chadema wanaoipenda chadema na wenye imani na chadma wanao amini kuwa chadema ndiyo mkombozi wao, imani yao hiyo ni sahihi kabisa hata mimi ninaimani hiyo na wale wale wanoamini kuwa yaliyotokea juzi kuwa yataisambalatisha chadema wanakosea, chadema ni taasisi ambayo ni mjumuiko wa watu wengi wenye mitazamo tofauti, ndugu wana habari mimi ndiyo samson Mwigamba mwanachama wa chadema nilijiiunga nikiwa usa river 2004 nikifundisha ukidoma sec...machi 2012 nilichaguliwa kuwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha.Mabadiliko tunayo hitaji yatapatikana kupitia chadema kama wote mjuavyo ni kiongozi pekee niliye andika makala nyingi kuliko kiongozi yoyote pamoja na kutishiwa akiwemo katibu wa bunge na baadae kukamatwa na leo hii nina kesi mahakama ya kisutu, siyo hayo tu baada ya maandamano ya mwaka 2011 mwajiri wangu aliniambia nichague moja kazi au chadema nilichagua chadema bila kujali mshahara wa 1,900,000 niliokuwa nalipwa. nilifanya hivyo kwa mapenzi yangu niliyo nayo chadema na nina amini niko sahihi..
==============
Sasa Mwigamba anaelezea namna ilivyokuwa siku hiyo anasema Lema aliingia kwenye ukumbi akamkuta mwenyekiti akitoa speech lema akiw na IPAD mkononi akaa sehemu yake lakini baada ya muda akasimama na kumwambia mwenyekiti samahani kuna jambo la dharua.. lema akaanza kuelezea alichokiona kwenye mitandao, Selesini akanyosha mkono kumuomba lema asome kilicho bandiko husika. alipo maliza wakatoa pendekezo kuwa laptop ikabidhiwe meza kuu akiwa bado hajawaambia anakadhidhi ama laah lema alifika na kumnyakua ile laptop na kumwita mwenyekiti wa chadema mkoa wa manyara mabae ni mtaalamu wa IT akaiwasha wakagundua inapassword Mwigamba hakuona tatizo kutoa password akatoa wakaanza kulinganisha path na kujiridhisha kuwa ilitoka kwake basi ile laptop ikarudishwa meza kuu

Mbona ni yale yale tunayoyafahamu?
 
Mwaka 2011, Mwalimu Secondary na mshahara wa Tsh. 1,900,000/= mbona inaonyesha wazi huyu jamaa ni muongo? yaani hata mkuu wa Idara Secondary wakati huo alikuwa hapokei kiasi hicho cha fedha.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mwaka 2011, Mwalimu Secondary na mshahara wa Tsh. 1,900,000/= mbona inaonyesha wazi huyu jamaa ni muongo? yaani hata mkuu wa Idara Secondary wakati huo alikuwa hapokei kiasi hicho cha fedha.

...Sijaona mahala popote aliposema hiyo ni shule ya Serikali, kwa private ni possible....
 
Mojawapo ya disadvantage kubwa sana ya democracy ni concept ya Wengi wape, hata kama wako 100% wrong. Hapa inafanyika kuaminisha wengi kwamba Mwigamba kakosea na aliyosema ni uongo mkubwa, jamii (Walio wengi) wakishakubali hilo basi tayari ushindi umepatikana, tutamuita Mwigamba msaliti, masalia, muasi na kadhalika.
Ni kweli sasa Mwigamba ni kama mimi na wewe tu, Outsider na yuko huru kuongea lolote tu. Tatizo litaonekana ni upande wake tu katika maisha yake kisiasa, wengi wetu tutasema amecommit political suicide japo mimi nitaita political murder.Tutakachoshindwa kutambua ni ushindi wa giza dhidi ya nuru!

Hakuna kazi ngumu kama kufukuzana na CCM, hilo lazima tukiri. Kwa kasi tuliyo nayo sasa (ufisadi, katiba mpya, rasilimali nk) sidhani kama ni muda muafaka wa kuanza kupigana konzi wenyewe. Naamini Mwigamba hajapotezwa. Kuna siku ataambiwa "ok, kijana njoo... pole kwa yaliyokukuta kule njiani. Haya kaa hapo kunywa soda, tuambie ulikuwa unasemaje"...
 
Better be that, unajua Mwigamba ni good boy ila tu anaonekana kuwa ni mtu wa misimamo fulani hivi ambayo hukwaza baadhi ya watu, the good thing kwa watu wa namna hiyo hawakubali kutumika kama sources bali husimamia show zao wenyewe!
 
Back
Top Bottom