Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

Huyu mtoa taarifa mbona kimya tena ? Au speech imeishia hapo?
 
CHADEMA ina mkono wa Mungu yeyote ajaribiaye kuisaliti hukumbana na rungu la Mungu kabla hajafika mabli, nakwambie tena ndugu zangu CHADEMA ni taasisi kubwa sana yenye mtandao mrefu na mpana na kuna viongozi wengine ndani ya serikali na kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wanao ipenda sana CHADEMA tena kwenye damu yao, hivyo kuihujumu chadema sawa sawa na kuhujumu nchi. Yeyote awaye hata kama atakua mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA akithubutu kufanya ujinga ndani ya CHADEMA lazima akione cha moto.
 
mwigamba.jpg
===>Nafikiri ilikuwa si mchezo,ila naamini kuna kitu kitafanyika na naamini CDM wanajifunza hapa.
 
Daima mtu anafanya kazi anyoona inamlipa. Swali langu kwa Samsoni Mwigamba
1. Nini lego na kusudio la andishi lako ukizingatia majira na nyakati ambazo CDM kinazipita kwa sasa kuelekea 2015?.
2. Wewe kama kiongozi mkubwa ndani ya chama na mwenye uwanja mpana wa kutoa hoja zako katika mazingira yoyote ambayo naamini kama kiongozi unajua lipi la kupeleka mtandaoni na lipi la kupeleka vikaoni. Unadhani andiko lako linaleta afya kwa chama cha CDM au linasambaratisha usitawi na ujenzi wa chama?.
3. Unaweza kujitofautishaje na wale mamluki wa CCM ambao wako CDM au wanataka kujiingiza CDM?.
4. Naomba kujua biograph yako. Inaweza ikawa na maana sana kulink target za adui yetu!!!!

Hoja yake umeielewa lakini?Kwa mtu anayeipenda na kuitakia mema Nchi yake HOJA za Mwigamba hatazipuuza hata kidogo.Watakaozipuuza ni wale wanaonufaika na MFUMO ndani ya Chama au wale GULIBLE SUPPORTERS wanaouamini Uongozi kwa kila kitu lakini CURIOUS MINDS kama sisi ni lazima tutahoji kwa undani zaidi.
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!

Ben, Please acha kwanza. Yo know what I mean,,please
 
Daima mtu anafanya kazi anyoona inamlipa. Swali langu kwa Samsoni Mwigamba
1. Nini lego na kusudio la andishi lako ukizingatia majira na nyakati ambazo CDM kinazipita kwa sasa kuelekea 2015?.
2. Wewe kama kiongozi mkubwa ndani ya chama na mwenye uwanja mpana wa kutoa hoja zako katika mazingira yoyote ambayo naamini kama kiongozi unajua lipi la kupeleka mtandaoni na lipi la kupeleka vikaoni. Unadhani andiko lako linaleta afya kwa chama cha CDM au linasambaratisha usitawi na ujenzi wa chama?.
3. Unaweza kujitofautishaje na wale mamluki wa CCM ambao wako CDM au wanataka kujiingiza CDM?.
4. Naomba kujua biograph yako. Inaweza ikawa na maana sana kulink target za adui yetu!!!!

Baadhi yetu tunaendelea na imani za chama kwanza mengine baadaye, kama kiapo cha kutetea na kulinda chama kwa lolote na hali yoyote, ni kifungo fulani dhidi ya free thinking.
We need those people who are courageous enough to speak out when they notice the faults, wrong things which go unspoken by ordinary people. Mwigamba asionekane tu mnafiki na mchafuzi wa hewa hapo Chadema, Mwigamba ni whistle blower tu, kasema ambayo wengine hawadiriki kusema kwa kuhofia kupoteza nafasi zao, ushahidi ni njia aliyoitumia.
Adui yetu????? Adui wa Chadema ni nani?? CCM???? Think again!!
 
Buku 7 kwa kubadili maneno hamfai..... Mwigulu anatembea na tindikali nyie mnageuza ni chadema! Musa mmeshampeleka india au mwigulu kaenda nae uingereza?

buku 3 ndizo zinakufanya utetee hadi watembea na sumu
 
Kwann wewe mama yako haingiliki naye apelekewe ujinga wako?

Dawa ya moto ni moto,,,tuachane na mambo yakina mama,,naamini hata hawajui kama kuna kitu kinaitwa jf,,,,tujaribu kujibishana kwa hoja,,,,lete hoja mkuu nikujibu kwa hoja,,,zilikuwa ni hasira kama zilizotumika katika kikao cha cdm arusha na kumporomoshea makonde kama tyson mh samsoni mwigamba
 
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.

Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.

Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.

Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.

Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.

Hakuna mapya!
Si mwachie aseme mwenyewe?
Au mmeistage manage!
 
maccm majinga sana wale wa buku wameshaanza kuandika pumba ccm vp dodoma nasikia nape wamefukuza
 
Pambana Mwigamba pambana tunataka viongozi wapya chadema Mbowe, Zitto na Slaa wakae pembeni maana wanaharibu chama na wanajenga makundi
 
Dawa ya moto ni moto,,,tuachane na mambo yakina mama,,naamini hata hawajui kama kuna kitu kinaitwa jf,,,,tujaribu kujibishana kwa hoja,,,,lete hoja mkuu nikujibu kwa hoja,,,zilikuwa ni hasira kama zilizotumika katika kikao cha cdm arusha na kumporomoshea makonde kama tyson mh samsoni mwigamba
Kwa hiyo unajisifu au....
 
Daima mtu anafanya kazi anyoona inamlipa. Swali langu kwa Samsoni Mwigamba
1. Nini lego na kusudio la andishi lako ukizingatia majira na nyakati ambazo CDM kinazipita kwa sasa kuelekea 2015?.
2. Wewe kama kiongozi mkubwa ndani ya chama na mwenye uwanja mpana wa kutoa hoja zako katika mazingira yoyote ambayo naamini kama kiongozi unajua lipi la kupeleka mtandaoni na lipi la kupeleka vikaoni. Unadhani andiko lako linaleta afya kwa chama cha CDM au linasambaratisha usitawi na ujenzi wa chama?.
3. Unaweza kujitofautishaje na wale mamluki wa CCM ambao wako CDM au wanataka kujiingiza CDM?.
4. Naomba kujua biograph yako. Inaweza ikawa na maana sana kulink target za adui yetu!!!!

Mwigamba aliamini cdm itamlipa zaidi..., mambo yamekuwa tofauti, badala ya kufaidi ruzuku amejikuta akiwa Maskini Mkulima. Hapa mimi napata picha, tatizo la cdm na vyama vingine vya siasa ni mapato. Vijana wanategemea kula chamani hivyo pesa ya chama isipofika mikoani kwa wakati basi matatizo yanaanza. Kama sikosei, hata akina shonza walidai kutokulipwa ilhali heche akilipwa mshahara wa kutosha. Suluhu ya haya yote ni kuhakikisha chama kinawawezesha vijana wake ili waweze kujitegemee, vinginevyo migogoro haitaisha,
 
Back
Top Bottom