Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Atasema kuwa aliondolewa makao makuu kwa hila.
Atasema aliombwa kufanya kazi pale lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo.
Atasema hakuna uhuru wa kutoa maoni. Atasema kuna ukabila na udini.
Atasema yeye ni msomi hawezi kutumika. Kisha atasema anaipenda Chadema na kambi ya upinzani na ni muumini wa mabadiliko.
Atasema anakusudia kukata rufaa. Atasema anaenda mahakamani.
Hakuna mapya!
Bosi mbona unamwekea maneno mdomoni?
Nikwambie kitu, unakuwa kama baba aliyekorofishana na Housegirl aliyekuwa anatembea naye, sasa mama akianza kuulizia vipi! Baba anaanza huyu mpuuzi sana, anataka aseme eti nilikuwa natembea naye, au nimemtongoza.
Ha ha ha!