Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Nini kimechelewesha mkutano kuanza huoni ni kama kuwapotezea wananchi muda wa kuzalisha na kukuza uchumi
Wamepotezewa muda na ccm kwa zaidi ya miaka 50. , need we say more..!
Nini kimechelewesha mkutano kuanza huoni ni kama kuwapotezea wananchi muda wa kuzalisha na kukuza uchumi
I beg you pardon Mr Magambaz!! Unaionaje hiyo poll inayoendelea humu JF? Naona umepiga KOSA lakini ni bure tu! -- nawe umeshachelewa!! Ha ha ha.
Kwa hali halisi watu hawajazidi 1500 zingine porojo.mlisema kuna watu 20, vipi kauli zimenadilika..
Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)
Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)
Tuntemeke yuko wapi?
Mimi nipo huku kahama, hakuna picha kama hizi,watu walikuwa bize na waliofika wameleta zomea zomea hadi polisi wamekiokoa kibabu! Acheni kuleta picha feki, weka video!
Mods piga life ban hii kurugenzi ya habari.
Angalia kwa makini uongo huu Dr.Slaa anawaaga watu lakini ukiwaangalia watu bado wamesimama wanasikiliza mkutano.
Dr.Slaa anahutubia watu kushoto watazamaji wapo kulia.
Chezea Zitto.
Chadema inakufa tayari! Mnaleta picha za kupanga! Weka video uone alivyozomewa! Mi niko huku huku kahama.
Naona kuna mnazi nyuma ya picha!!!! Hii kitu ya kuchaka chua aise!!!
Weka picha za kweli vinginevyo unachoongea ni unafiki na umbea gamba wewe!
We umekaa huko stendi ya vifodi na laptop yako,unaleta ubishi! Nasema, weka video uone kilichotokea! Chadema kwishaaa!
Kwa hali halisi watu hawajazidi 1500 zingine porojo.
Poa Makene,ila kwa nini hamjui kwa wakati,mnaruhusu Zitto kuleta upotoshaji
lazima utakuwa umeibiwa password: cc Mungi, Ben Saanane sweetlady njooni mumusikie katibu mwenezi wa magamba