Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mheshimiwa Kurugenzi wa Habari hii picha si ya ukweli na MODs naomba muwemnahakiki hizi picha otherwise intergrity yenu itakuwa questionable. Kwanza naomba nimuulize mheshimiwa Kurugenzi wa Habari ni wapi Kahama kuna minazi maana sijawahi kuiona nikiwa kahama. Naomba ufafanuzi.

Pili hili ghorofa la orange hapo ni kama vile temeke but I could be wrong ila nilishawahi kuliona maeneo hayo au Yombo ila naomba uniambie hilo ghorofa liko mitaa gani kahama nitapita kupatafuta nina safari ya kwenda huko ila silikumbuki kuwepo kahama mjini.

Tuanzie na hayo kwanza halafu nitakuja na mengine baadae......
 
Aisee kahama kuna minazi,unafikiri kungekuwa na watu wengi lazima picha wangeweka mapema tena live,Aisee siasa ya kichadema ya kilaghai

umeambiwa mkutano ulichelewa kuanza, wangeweka picha ya mama ako?
 
Wasaliti hawajawahi kushinda duniani popote mbele ya wazalendo wapigania haki za wanyonge. Zitto tulikupenda uliposimamia maslahi yetu wanyonge. Ulipotusaliti wanyonge na kukubali kuhongwa na mafisadi, utaisoma namba na historia itakuhukumu. Unatuletea sanaa sio wakati watz tunanyasika na utawala dhalimu wa ccm. Damu ya watz itakulaaani popote utakapokwenda. Zitto wanyonge tulikupenda ila mafisadi wamekupenda zaidi. Go to hell snitch"!!!!!!!!!!. Mmeo mwigulu/wasira. Eti niwkeeeni dola ujerumani. Hakuna siri ya watu wawili zito.
 
Mheshimiwa Kurugenzi wa Habari hii picha si ya ukweli na MODs naomba muwemnahakiki hizi picha otherwise intergrity yenu itakuwa questionable. Kwanza naomba nimuulize mheshimiwa Kurugenzi wa Habari ni wapi Kahama kuna minazi maana sijawahi kuiona nikiwa kahama. Naomba ufafanuzi.

Pili hili ghorofa la orange hapo ni kama vile temeke but I could be wrong ila nilishawahi kuliona maeneo hayo au Yombo ila naomba uniambie hilo ghorofa liko mitaa gani kahama nitapita kupatafuta nina safari ya kwenda huko ila silikumbuki kuwepo kahama mjini.

Tuanzie na hayo kwanza halafu nitakuja na mengine baadae......

katika chama makini kwa habari na uenezi bac idara hii ya chadema ni makini sana na wasomi, jiulize wakiweka hapo ya kuchonga itawasaidia nini, hapo ni kahama na ilo gorofa la yombo umelifananisha tu.... Ukiendelea kubisha nakutukana matus ya nguoni kwan unakela.
 
tunawashukuru sana Tuntemeke kwa uongo wenu , tunafahamu kwamba hamuogopi ban maana mna NAMNA nyingine !
 
Kwa mujibu wa sheria, mikutano yote ya hadhara kumalizika saa 12:15 jioni. Lakini nashindwa kuelewa kwanini jeshi la polisi halikumkata Dr. Slaa kwa kuzidisha muda pale Kahama katika uwanja wa CDT kwa kuhutubia mkutano wa hadhara hadi saa 12:45 jion>. NAOMBA UFAFANUZI WADAU
MUNGU IBARIKI AFRIKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
Mheshimiwa Kurugenzi wa Habari hii picha si ya ukweli na MODs naomba muwemnahakiki hizi picha otherwise intergrity yenu itakuwa questionable. Kwanza naomba nimuulize mheshimiwa Kurugenzi wa Habari ni wapi Kahama kuna minazi maana sijawahi kuiona nikiwa kahama. Naomba ufafanuzi.

Pili hili ghorofa la orange hapo ni kama vile temeke but I could be wrong ila nilishawahi kuliona maeneo hayo au Yombo ila naomba uniambie hilo ghorofa liko mitaa gani kahama nitapita kupatafuta nina safari ya kwenda huko ila silikumbuki kuwepo kahama mjini.

Tuanzie na hayo kwanza halafu nitakuja na mengine baadae......

huo mnazi umepachikwa m.k.duni kwako
 
yaaah umeona neno jana ila mikoa Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida hujaiona magamba mtaisoma number

Mmebadili demand sio, sasa mnataka video. Mkipewa DVR mnadai VCD, mkipewa VCD mnadai DVD ILI MRADI hamuishiwi mdai tu. Mnayo kazi na liccm lenu ndugu.
 
Wivu wa kike! Povu la nini? Hutaki unaacha. Uende mahakani au ukishindwa ujinyonge!
 
huo mnazi umepachikwa m.k.duni kwako

Safi sana hongera kwa kukosa hekima na busara ila fumbo mfumbie mjinga mwerevu hulingamua kama kuuliza ni kosa na unanitukana kila kheri ila kawadanganyeni wengine ila sio akina sisi .
 
Hongera sana Dr Slaa…Chadema ni kama maji, usipoyakoga basi utayanywa tu na usipoyanywa basi utayafulia nguo tu.
 
kwa nini usihoji ni vipi wananchi waliohudhuria hawakutawanyika ilipofika sa12
 
ninavyojua mimi mikutano ya hadhara mwisho saa 12:00 sasa yeye kahutubia kuanzia saa 12:15,je yupo juu ya sheria? tuache propaganda
 
Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)

Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

Picha za kuunga
 
Back
Top Bottom