Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Hizo picha sio kahama hapo

Unajua Zitto ana Diwani mmoja tu wa CDM kwenye Jimbo lake?Umuhimu wake kwa CDM haufikii hata wa Sugu au Wenje sembuse kutia mguu kwa Dr.Slaa.By the way kajionee kura za wanaoafiki maamuzi ya Kamati Kuu CDM.
 
Well done Kurugenzi.!!! Hii ndio kiboko ya wanafiki


Leo nimefarijika sana.... na hakika MUNGU anatenda na ameamua kuwakomboa watanzania kupitia CHADEMA....Majaribu ni mengi laniki tutafika salama.

Inashangaza sana chama tawala kinafanya siasa za kibaguzi (udini, ukabila na ukanda) bila hata haya...mbaya zaidi wanatumia fedha za walipa kodi kuwatuma watu kufanya uchafu huo.... Hakika MUNGU atawalaani wote wanaotuma na wanatumwa...Ukiangalia hakuna hata sekta moja unaweza ukasema Watanzania tutapita kifua mbele tukijitapa kwamba angalau inafanya vizuri, hakuna!!! labda wachawi na waganga wa kionyeji..... Halafu unakuta lijitu bado linajiita CCM.. ny...o...ko kabisa!!! Wanauzi sana hawa watu..

Kama MUNGU anashuhudia haya hakika safari ya kuelekea Tanzania yenye neema sasa tumeianza na kupita CHADEMA tutafika SALAMA...

Pigeni kazi wakuu, watanzania wako nyuma yenu,,,, achaneni na waandishi makanjanja wa TZ Mkapa aliowaita UCHWARAA....Maana wao ndio watakuwa kuni za jehanamu kwa sababu wanamacho, wanamasikio lakini wanajifanya hawasikii wala hawaoni taabu za Watanzania... kutwa kushabikia upumbavu.....
 
attachment.php
 
Hakuna mkutano wa saa kumi na mbili huu ni upotoshaji wa hali ya juu.

Usikurupuke tulia we mbinti.
ccm ilishakufa zamani.

R.I.P. CCM, tulikupenda lakini shetani alikupenda zaidi
 

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.

View attachment 124850
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)


View attachment 124852
Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

cc TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
Mkutano aliohutubia Kikwete hivi karibuni kule Bukoba kuanzia saa 12 hadi saa 2 za usiku ulikuwa mkutano gani wa kuanza muda huo na kumalizika usiku.

Mtu makini nageuliza kwa nini Dkt. Slaa na msafara wake walichelewa.

Magari karibu yote yaliyokuwa kwenye msafara huo yaliwekewa mafuta mabovu/yaliyochakachuliwa katika moja ya vituo vya mafuta pale Kibaha. Hali hiyo ilisababisha magari kwenda kwa mwendo wa kinyonga kabla haijaamuriwa yafanyiwe

Uongo mwingine bana ha ha ha kadanganyeni watoto wa chekechea
 
Mkutano aliohutubia Kikwete hivi karibuni kule Bukoba kuanzia saa 12 hadi saa 2 za usiku ulikuwa mkutano gani wa kuanza muda huo na kumalizika usiku.

Mtu makini nageuliza kwa nini Dkt. Slaa na msafara wake walichelewa.

Magari karibu yote yaliyokuwa kwenye msafara huo yaliwekewa mafuta mabovu/yaliyochakachuliwa katika moja ya vituo vya mafuta pale Kibaha. Hali hiyo ilisababisha magari kwenda kwa mwendo wa kinyonga kabla haijaamuriwa yafanyiwe
Mkuu umerogwa huyo mzee mnamdanganya mwambieni ukweli kuwa dhama zake zimekwisha kuweka picha za uongo haisaidii kitu asimumchezee zito siyo saizi yake atamwacha vibaya.
 
....Ubishi wa kitoto,wivu wa kike kama sio wa kijinga,halafu jitu zima eti "chezea zitto" swaga za kidada hizi.


Graveyard unapata wapi mda wa kubishana na hilo gamba gumu Ritz??? Aisifuye mvua imemnyea... Jiulize mwanaume mzima nawezaje kumsifia mwanaume mwenzie???
 
Last edited by a moderator:
Invisible na other Mods naomba mje kuna members wamejificha huku, naomba mje kunisaidia kuwatoa, wasitufikirie vibaya sisi humu JF wala hatuli watu, tunakosoana tu basi.

tunt.jpg

tunte.jpg
 
Mkuu umerogwa huyo mzee mnamdanganya mwambieni ukweli kuwa dhama zake zimekwisha kuweka picha za uongo haisaidii kitu asimumchezee zito siyo saizi yake atamwacha vibaya.

Wekeni nyie hizo za ukweli..... Habari ndiyo hiyo, hamtaki mnaacha.... Mfikishie taarifa mumeo zito mwambie chadema ndio habari ya mjini!
 
Back
Top Bottom