Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Ma ccm wenzangu na masalia mnaoishi na posho za msaliti twendeni tukalale tuwahi kuamuka na kuanza kupanga kutoa matamko ya kuibomoa chadema kwani tukirudi nyuma kidogo tutakuwa tumewajengea jina na hivyo watatumwaga
 
huu uzi umekuwa kaa la moto kwa zitto na wahuni wake wa ccm..

Yaani wanaanguka kifafa wote humu ndani hahahahah..... Ngumu kumeza ila itabidi wajitahidi tu asee manake tumewapiga bao la kisigino na bado!
 
1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg

Habari ndiyo hiyo...!!

Slaa na Makene ni MISUKULE TUH KAMA WALIVYO MISUKULE WENGINE,

WENYE NYUMBA WAPO ZAO TENGERU,NA MSIMAMIZ NI HUYO BABA MKWE HAPO..!!
 
Haijawahi kutokea hasira zikatatua jambo zaidi utapasuka msamba tu zitto ni namba nyingine kabisa saizi ya slaa ni mboni mhita kisiasa slaa kachuja kama nguo.

yaani ninapo waona CCM ni mifala ni hapo kwenye kumtetea zitto , yaani kwa hilo mnalo fanya ndiyo mnazidi kuuthibitishia umma kuwa huyo ni gamba mwenzenu na mnaumia sana kutolewa kwake kwan kumewajeruhi sana mipango yenu.
 
Lazima mmalizie dozi siyo wazima nyie mlikuwa wachawi kwenda uwanjani usiku zitto atawapasua msamba haya sasa mmeenda kumwaibisha mzee wa watu.

Ha ha ha ha h.... Utakufa nacho kijiba cha roho dada..... Ukweli hauwezi kubadilika.... Zito anawapasua msamba nyie mnaokesha jf mkimtetea.... Zito kwetu sasahivi ni takataka ya kutupwa jalalani... Hana lolote.... Wewe una haki ya kumtetea manake ni mmeo!
 
Nashangaa sana wana ccm uchwara na mafisadi kama .......... kung'ang'ania kuipa promo chadema wakati katibu mkuu wetu kinana amedoda vya kutosha mbeya leo na kuishia kufanya mkutano wa ndani na kukagua tazara ambayp imefilisiwa na ccm mafisadi

Mkuu leo umekuwa kamanda hahahaaa........ Angalia Kinana asije akakukata pembe
 
Nilishawishiwa kujiunga chadema na Dr slaa kupitia mahojiano ya live kupitia ITV na badae nikaisoma katiba ya chama na kuielewa na kuanza kukitumikia chama mimi kama mimi kwa nafasi yangu kivyangu na leo hii naipenda chadema kama taasisi na sio mbowe au slaa kwani wakiondoka wao stil nitaendelea kuipenda hadi pale Allah atakapoamua kuichukua pumzi yake au watawala watakavyo amua kukatisha uhai wangu sababu ya kupigania chama changu maana cjawahi kuwa na kadi ya chama chochote zaidi ya chadema.

Mungu wabariki viongozi wangu

Mungu kibariki chama changu

Mungu wabariki viongozi waadamizi wa serikali iliyopo madarakani ili nao waone kuwa sio wao tu wanaoweza ongoza nchi bali hawa viongozi wengi nje ya ccm wanaweza.

Mungu ibariki nchi yangu Tanzania
 
Habari ndiyo hiyo...!!

Slaa na Makene ni MISUKULE TUH KAMA WALIVYO MISUKULE WENGINE,

WENYE NYUMBA WAPO ZAO TENGERU,NA MSIMAMIZ NI HUYO BABA MKWE HAPO..!!

Unafikiri wewe ulivyo msukuke wa zito na wenzie basi kila mtu ni msukule... Acha wivu wa kike wewe... Utajaolewa bure
 
Haijawahi kutokea hasira zikatatua jambo zaidi utapasuka msamba tu zitto ni namba nyingine kabisa saizi ya slaa ni mboni mhita kisiasa slaa kachuja kama nguo.

Sasa kama Zitto ni namba ingine pivi kule kwenye Polls mbona hafui dafu.....

Mungu wetu ni mwenye rehema na wala havumilii mabaya...Mwisho wa ubaya ni aibu...
 
Yaani wanaanguka kifafa wote humu ndani hahahahah..... Ngumu kumeza ila itabidi wajitahidi tu asee manake tumewapiga bao la kisigino na bado!

Mimi nipo huku kahama, hakuna picha kama hizi,watu walikuwa bize na waliofika wameleta zomea zomea hadi polisi wamekiokoa kibabu! Acheni kuleta picha feki, weka video!
 
Ma ccm wenzangu na masalia mnaoishi na posho za msaliti twendeni tukalale tuwahi kuamuka na kuanza kupanga kutoa matamko ya kuibomoa chadema kwani tukirudi nyuma kidogo tutakuwa tumewajengea jina na hivyo watatumwaga

Ha ha ha ha h... Mkuu waambie wanywe maji kwanza kabla hawajalala ili hayo majasho yapungue kidogo....si unawaona wanavyohemea juu juu kama wamefumaniwa?
 
Chadema mnatumia nguvu nyingi sana kupambana na Zitto lakini mmeishachelewa.
Hivi ni chadema inatumia nguvu nyingi kupambana na Zitto au ni Zitto ndiyo anatumia nguvu nyingi za kutoka CCM kupambana na CHADEMA? Hivi kwanini watetezi wakubwa wa Zitto hapa jukwaani ni wanaCCM? Hebu fikiria Lumumba yote imejipanga kuyashambulia maamuzi ya CHADEMA dhidi ya Zitto lakini bado wananchi wanaendelea kuwa na imani kubwa na CHADEMA. Hakuna namna yoyote wana Lumumba mtafanikiwa kuiangamiza CHADEMA. Slaa ni intelligensia wa kimataifa, intelligensia yake ni ya juu kushinda hata ya serikali yako. Mustarajie mtelemko. Hakuna mtakachokifanya kisigundulike.
 
Mimi nipo huku kahama, hakuna picha kama hizi,watu walikuwa bize na waliofika wameleta zomea zomea hadi polisi wamekiokoa kibabu! Acheni kuleta picha feki, weka video!

Weka picha za kweli vinginevyo unachoongea ni unafiki na umbea gamba wewe!
 
Back
Top Bottom