Hii picha no uwongo,hill eneo ni CDT ambapo hupaki mafuso na kwa population ya kahama hao watu ni wachache sana
mlisema kuna watu 20, vipi kauli zimenadilika..
Niko kahama watu walikuwa busy na mambo Yao.
Hizo picha ni za upande mmoja tu?
Chadema hapa kahama imejikondea kama mbwa koko.
Haijawahi kutokea hasira zikatatua jambo zaidi utapasuka msamba tu zitto ni namba nyingine kabisa saizi ya slaa ni mboni mhita kisiasa slaa kachuja kama nguo.
Chadema mnatumia nguvu nyingi sana kupambana na Zitto lakini mmeishachelewa.
Kwahiyo ni CDT au kahama?, ebu pangilia sentensi yako ueleweke!
Hakukuwa na picha mkutano saa kumi na mbili na nusu picha za wapi hizo?Wekeni nyie hizo za ukweli..... Habari ndiyo hiyo, hamtaki mnaacha.... Mfikishie taarifa mumeo zito mwambie chadema ndio habari ya mjini!
Wananchi wana imani kubwa na CHADEMA, picha imejieleza.
aluta continua.....😛eace:
Mbona Ulianza Muda wa Jioni sana?
Wekeni nyie hizo za ukweli..... Habari ndiyo hiyo, hamtaki mnaacha.... Mfikishie taarifa mumeo zito mwambie chadema ndio habari ya mjini!
Haijawahi kutokea hasira zikatatua jambo zaidi utapasuka msamba tu zitto ni namba nyingine kabisa saizi ya slaa ni mboni mhita kisiasa slaa kachuja kama nguo.
lakini usisahau ku-vote kwenye ile open poll ili umuokoe mmeo, aibu ya dhahiri inakujaMods piga life ban hii kurugenzi ya habari.
Angalia kwa makini uongo huu Dr.Slaa anawaaga watu lakini ukiwaangalia watu bado wamesimama wanasikiliza mkutano.
Dr.Slaa anahutubia watu kushoto watazamaji wapo kulia.
Chezea Zitto.
Lazima mmalizie dozi siyo wazima nyie mlikuwa wachawi kwenda uwanjani usiku zitto atawapasua msamba haya sasa mmeenda kumwaibisha mzee wa watu.Yaani magamba wanaruka na kukanyagana wenyewe kwa wenyewe humu ndani.... Mara sio picha za kweli, mara sio kahama ... Ha ha ha ha ha ha h.. Pole yao akina Ritz na Simiyu Yetu!
Mkuu umerogwa huyo mzee mnamdanganya mwambieni ukweli kuwa dhama zake zimekwisha kuweka picha za uongo haisaidii kitu asimumchezee zito siyo saizi yake atamwacha vibaya.