Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Dkt. Slaa "Watanzania tulieni, tulieni, tulieni. Wingi wenu hapa na kunisubiri kwa muda mrefu namna hii tangu mchana kwenye jua kali ni ishara kubwa ya upendo wa dhati kwa chama chenu na viongozi wenu, asanteni sana sana sana Kahama.

"Chama hiki ni chenu, kipo kwa ajili ya kuwatumikia na kusimamia maslahi na matakwa yenu. Hakiwezi kuwa chama legelege. Ni lazima ili kiweze kuwasemea watu, kwanza muhimu kiweze kusimamia misingi yake, ikiwemo katiba, kanuni, maadili na itifaki, mambo ambao hata CCM hawana pamoja na ukongwe wao.'

"Wakati wa kampeni 2010 tuliwaambia tutasimama kidete kwa ajili yenu kuwavusha kutoka hapa kwenda nchi ya matumaini. Ni lazima mtuone hivyo bila chembe ya shaka kuwa chama chenu ni imara, kinaweza kusimamia misingi yake ambayo ni pamoja na katiba yake, kisha tutakuwa na ubavu wa kupigania maslahi yenu."

"Haya mambo tunayopitia sasa wapo wanofikiri yatatukwamisha, tunawaambia ndiyo kwanza yanatukomaza na kutuimarisha kuwa chama imara kwenda kushika dola," Dkt. Slaa leo mjini Kahama.

Attachments

  • Slaa kuhutubia Kahama 1..jpg
    Slaa kuhutubia Kahama 1..jpg
    467.4 KB · Views: 188
mpunguzieni Babu mlolongo wa safari na vituo vya kuhutubia ili kuleta ufanisi wa ziara yake. Chadema note wananchi hawana shida ya kuona sura ya Dr Slaa kwa dk 20 bali wamesubiri kwa masaa 4 kusikiliza sera na dira ya chama. kama ingekuwa mkutano wa dk20 wangekusanyika uwanjani saa 12 kamili jioni

Dr.Slaa yeye anajenga Chama wakati Zitto anatafuta Umaarufu binafsi.Mwambieni aende CCM akajitafutie umaarufu maana ndio ana wafuasi wengi huko
 
Ujinga huu wa kutuwekea picha za kuchakachua utaisha lini??????? Hii siyo kahama I swear ni uongo wa mchana kweupe! Huo mnazi nyuma ya picha umetoka wapi???? Bavicha Makene jibu hii
 
Ukweli ni kwamba watu wa kawaida sana hapa kahama kama waendesha boda boda bila hata ya kuambiwa na mtu wanajua toka kitambo zitto ni mnafiki na msaliti!tunajua anavyo wanunua baadhi ya vijana wa cdm ili wamsapoti kwenye agenda yake ya siri iliyojificha kwenye kichaka cha eti demokrasia!bado tunaimani na CHADEMA
 
Aisee kahama kuna minazi,unafikiri kungekuwa na watu wengi lazima picha wangeweka mapema tena live,Aisee siasa ya kichadema ya kilaghai

Tatizo lako inaonekana hujawahi Fika kahama.hiyo minazi ni ya ukweli, ilipandwa na waarabu enzi zileee nadhani kihistoria unakumbuka.ukifika ukenyenge kwako marehemu bob makani minazi utadhani uko pemba.picha ni ya ukweli usidhani uongo.KAribu kahama
 
Mods piga life ban hii kurugenzi ya habari.

Angalia kwa makini uongo huu Dr.Slaa anawaaga watu lakini ukiwaangalia watu bado wamesimama wanasikiliza mkutano.

Dr.Slaa anahutubia watu kushoto watazamaji wapo kulia.

Chezea Zitto.
 
CCM ipi ataopokelewa huyo anaefikiria kwa kupitia...... labda ccm ile yawakina Fulani wanaofadhiliwa na China magwanda na Kofia zenye nyota nyekundu ccm nayoitumikia mimi huyu zito ni msaliti wa ukombozi na maendeleo ya watanzania
Dr.Slaa yeye anajenga Chama wakati Zitto anatafuta Umaarufu binafsi.Mwambieni aende CCM akajitafutie umaarufu maana ndio ana wafuasi wengi huko
 
Dkt. Slaa "Watanzania tulieni, tulieni, tulieni. Wingi wenu hapa na kunisubiri kwa muda mrefu namna hii tangu mchana kwenye jua kali ni ishara kubwa ya upendo wa dhati kwa chama chenu na viongozi wenu, asanteni sana sana sana Kahama.

"Chama hiki ni chenu, kipo kwa ajili ya kuwatumikia na kusimamia maslahi na matakwa yenu. Hakiwezi kuwa chama legelege. Ni lazima ili kiweze kuwasemea watu, kwanza muhimu kiweze kusimamia misingi yake, ikiwemo katiba, kanuni, maadili na itifaki, mambo ambao hata CCM hawana pamoja na ukongwe wao.'

"Wakati wa kampeni 2010 tuliwaambia tutasimama kidete kwa ajili yenu kuwavusha kutoka hapa kwenda nchi ya matumaini. Ni lazima mtuone hivyo bila chembe ya shaka kuwa chama chenu ni imara, kinaweza kusimamia misingi yake ambayo ni pamoja na katiba yake, kisha tutakuwa na ubavu wa kupigania maslahi yenu."

"Haya mambo tunayopitia sasa wapo wanofikiri yatatukwamisha, tunawaambia ndiyo kwanza yanatukomaza na kutuimarisha kuwa chama imara kwenda kushika dola," Dkt. Slaa leo mjini Kahama.

Ana wadanganya wananchi eti "chama chenu" dr slaa ana taka kuwafanya wananchi hawamjui mmliki halali wa chadema(mbowe & mtei)
 
Poa Makene,ila kwa nini hamjui kwa wakati,mnaruhusu Zitto kuleta upotoshaji

Siku zote habari makini hazishindani ktk ujio wake bali zinakamilika ktk uhalisia wa habari kwanza ndio zijitokeze .... usiwe mwepesi wa kufadhaishwa na habari zisizo na uzito wa mantiki....!
 
Khaaaaaaaaaa! Wale waliosema mkutano umedoda ilikuwaje jamani? Mimi nimechanganyikiwa eti
 
ha ha ha wivu tu wana ccm unatusumbua hebu nawe weka picha yetu ya mkutano ambao tumezomewa pale Mbeya leo husuda itawamaliza wana ccm wenzangu
Mods piga life ban hii kurugenzi ya habari.

Angalia kwa makini uongo huu Dr.Slaa anawaaga watu lakini ukiwaangalia watu bado wamesimama wanasikiliza mkutano.

Dr.Slaa anahutubia watu kushoto watazamaji wapo kulia.

Chezea Zitto.
 
Niko kahama watu walikuwa busy na mambo Yao.
Hizo picha ni za upande mmoja tu?
Chadema hapa kahama imejikondea kama mbwa koko.

....Utakufa kwa unafiki wewe mtoto mdogo unakua na mambo ya kishetani kesho kwa Mungu kuna moto ujue!
 
Saa kumi na mbili na nusu ndio jua kali hivyo?!!!

Jifunze photoshopping vizuri...
 
Mods piga life ban hii kurugenzi ya habari.

Angalia kwa makini uongo huu Dr.Slaa anawaaga watu lakini ukiwaangalia watu bado wamesimama wanasikiliza mkutano.

Dr.Slaa anahutubia watu kushoto watazamaji wapo kulia.

Chezea Zitto.

kwani nyie picha zenu mlizopigia watu wachache zikiwemo hizo bodaboda 5 ziko wapi?
 
Mzee slaa kweli kazeeka hiyo picha mnaiona wakuu halafu mkutanomgani unaanza saa kumi na mbili huu ni uongo.

Mkutano aliohutubia Kikwete hivi karibuni kule Bukoba kuanzia saa 12 hadi saa 2 za usiku ulikuwa mkutano gani wa kuanza muda huo na kumalizika usiku.

Mtu makini nageuliza kwa nini Dkt. Slaa na msafara wake walichelewa.

Magari karibu yote yaliyokuwa kwenye msafara huo yaliwekewa mafuta mabovu/yaliyochakachuliwa katika moja ya vituo vya mafuta pale Kibaha. Hali hiyo ilisababisha magari kwenda kwa mwendo wa kinyonga kabla haijaamuriwa yafanyiwe
 
Back
Top Bottom