Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mimi nipo huku kahama, hakuna picha kama hizi,watu walikuwa bize na waliofika wameleta zomea zomea hadi polisi wamekiokoa kibabu! Acheni kuleta picha feki, weka video!

Tupe hizo ambazo sio feki....!!!! Si ulikuwepo huko Kahama kwenye mkutano....?
 
ujinga huu wa kutuwekea picha za kuchakachua utaisha lini??????? Hii siyo kahama i swear ni uongo wa mchana kweupe! Huo mnazi nyuma ya picha umetoka wapi???? Bavicha makene jibu hii

tanzania bila madawa inawezekana,
 
Habari ndiyo hiyo...!!

Slaa na Makene ni MISUKULE TUH KAMA WALIVYO MISUKULE WENGINE,

WENYE NYUMBA WAPO ZAO TENGERU,NA MSIMAMIZ NI HUYO BABA MKWE HAPO..!!

Umeahindwa ku-fight them ukaamua ku-join them. Hatimaye ukawa ndani ya buku 7fc, unafurahisha sana
 
asante sasa nalala kwa raha mstarehe, kuna washenzi sijui tutamente sijui alikuja na upuzi hapa mpaka nikaumia sanaaa... Sasa nalala kwa raha sana ngoja nigonge kimoja kwa mama watoto nilale safi, goo goo dr slaa
 
Chadema chama imara...Zitto ni Mchumia tumbo...sasa anaonekana mfalme kwa maccm, ila kwa wapenda haki Zitto ni Zaidi ya kituko.
 
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Kutoka Ofisi ya kamanda wa Polisi Mkoa wa
Arusha
Taarifa ya ajali ya moto katika Ofisi za
CHADEMA
Ndugu wanahabari,
Mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00
asubuhi, polisi mkoani hapa tulipokea taarifa
juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina
ofisi za chama cha demokrasia na maendeleo
(chadema) zilizopo mtaa wa ngarenaro
halmashauri ya jiji la arusha.
mara baada ya taarifa hiyo askari walikwenda
katika eneo la tukio na kukuta moto
umezimika. Jengo hilo ambalo lina uzio mrefu
wa matofali na geti moja la mbele lina ofisi
tatu za chama hicho ambazo ni ofisi za wilaya,
mkoa na kanda ya kaskazini ambazo zinatumia
bafu na choo kimoja.
aidha uchunguzi uliofanywa na polisi kwa
kushirikiana na idara ya zimamoto imegundua
mambo yafuatayo:-
kwanza , ofisi hizo zinalindwa na walinzi wa
chama hicho “red brigades” na siku ya tukio
mlinzi aliyekuwa zamu alikuwa kitumbwizi s/o
bahati (42) mkazi wa olasiti ambaye aliingia
kazini tarehe 02/12/2013 muda wa saa 12:00
jioni na kutoka tarehe 03/12/2013 muda wa
saa 12:00 asubuhi. Aidha ofisi hizo zina katibu
muhtasi mmoja aitwaye jenifer d/o mwasha
(25) mkazi wa sombetini ambaye uwa anaingia
kazini saa 1:30 asubuhi kila siku lakini siku ya
tukio aliingia saa 4:00 asubuhi.
pili, uchunguzi umeendelea kubaini kuwa,
hakuna mahali palipovunjwa kutoka kwenye
uzio wa ofisi hizo kuruhusu mtu/watu kuingia
ndani.
tatu, mlango wa nyuma wa ofisi hizo katika
veranda kuligundulika tundu katika dari
kuelekea bafuni tundu lenye upana wa futi
moja na nusu kwa nusu (11 /2x 1/2) ambalo ni
dogo kiasi cha kutowezesha mtu kupenya
kuingia ndani ya ofisi hizo.
nne, ndani ya bafu kulipatikana majivu na
kwenye sakafu na juu ya sinki yakiwa makavu
bila maji maji yoyote.
tano, kuta zote za bafu na choo hazikuwa
zimeungua.
sita, eneo lililoungua kwenye dari ni 3/4 (robo
tatu mita) lenye upana wa mita 1 kwa urefu
wa mita 3.
saba , eneo ambalo moto ulionekana
umewaka, mbao katika dari zilionekana
kuungua upande wa chini na upande wa juu
wa mbao na ceiling board hazijaungua
kuomyesha moto ulianzia chini.
nane, kumepatikana kipande cha chuma
kilichokuwa na karatasi zilizoungua pamoja na
tochi ndani ya dari eneo ambalo moto ulikuwa
ukiwaka lakini vitu hivyo havikuonyesha dalili
za kuungua au kushika moto, na inaonyesha
vimewekwa baada ya moto kuzimwa.
tisa, kuna uwezekano mkubwa moto huo
ulizimwa kwa kutumia hewa chafu/co 2.
kufuatia tukio hilo jeshi la polisi bado
linaendelea kuwahoji mlinzi wa ofisi hizo
kitumbwizi s/o bahati pamoja na katibu
muhtasi jenifer d/o mwasha, huku upelelezi
zaidi juu ya tukio hilo ukiendelea.
Asanteni kwa kunisikiliza.
imetolewa na kaimu kamanda wa polisi mkoa
wa arusha,
kamishna msaidizi wa polisi (acp) japhet
lusingu
tarehe
 
Chadema chama imara...Zitto ni Mchumia tumbo...sasa anaonekana mfalme kwa maccm, ila kwa wapenda haki Zitto ni Zaidi ya kituko.
 
Back
Top Bottom