Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)

Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

hahahahhaa nilikuwepo na nipo kahama,Fully doctoring acheni uongo ndo mana mmechelewa kutupia picha kumbe mlikua mnadoctoring
 
Imethibitishwa umepokea shs.7,000/= kutoka kwa nape nauye salio lakO la mpesa ni shs.7,650/=, vodacom kazi ni kwako
 
Picha zilizowekwa na 'Kurugenzi ya Habari'' ya CHADEMA zilipigwa mwaka 2011 tarehe 23 Nov. Just download those pics and look at the properties. Inaonyesha pia wamejaribu kuedit kwa kutumia photoshop, ila wameshindwa kuedit tarehe.

Hii ni AIBU kubwa. Sikutegemea kwamba itafika siku CHADEMA yetu ifanye yaleyale waliyokuwa wanafanya CCM mwaka 2010. I am interested kuona picha halisi za kilichotokea Kahama
 
Tutapata tu ukweli kwenye magazeti kesho!
 
Picha zilizowekwa na 'Kurugenzi ya Habari'' ya CHADEMA zilipigwa mwaka 2011 tarehe 23 Nov. Just download those pics and look at the properties. Inaonyesha pia wamejaribu kuedit kwa kutumia photoshop, ila wameshindwa kuedit tarehe.

Hii ni AIBU kubwa. Sikutegemea kwamba itafika siku CHADEMA yetu ifanye yaleyale waliyokuwa wanafanya CCM mwaka 2010. I am interested kuona picha halisi za kilichotokea Kahama

Weka za kwako basi...
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

Sasa wewe kama sio zuzu ni mpu.mb.avu....Kama ulikuwepo kwenye huo mkutano tafadhali tuwekee hizo picha...

Unahaha kama mbwa jike abayetaka kupandwa....Unalaaana!!!"
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

mke wangu huku hapakufai
 
1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

Njoo na ID yako ya kawaida labda tutakuelewa kibarua wee!
 
asante sana Dr.
huwezi zuia tsunami kwa mikono wewe!!!
 
Wivu wa kike! Povu la nini? Hutaki unaacha. Uende mahakani au ukishindwa ujinyonge!

mnajiita chama makini kinachosimamia haki, sheria na katiba; vp hili la muda mmelivunja je mkipewa nchi si ndo kabisa mtakiuka kila kitu ikiwemo hiyo katiba mpya mnayo ililia? hukuwapi umakini mnaojidaia!!!!
 
Picha zilizowekwa na 'Kurugenzi ya Habari'' ya CHADEMA zilipigwa mwaka 2011 tarehe 23 Nov. Just download those pics and look at the properties. Inaonyesha pia wamejaribu kuedit kwa kutumia photoshop, ila wameshindwa kuedit tarehe.

Hii ni AIBU kubwa. Sikutegemea kwamba itafika siku CHADEMA yetu ifanye yaleyale waliyokuwa wanafanya CCM mwaka 2010. I am interested kuona picha halisi za kilichotokea Kahama

Hebu wekeni hizo za ukweli jamani khaaa....Mnahaha sana mccm..
 
Back
Top Bottom