Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

... Kwa mtizamo wangu, CUF wameonesha uhai, kwamba nao wapo. CUF wapo dsm tu au hata mikoani? Hiki ndo kitu cha kusubiri.
my dear sooth, uhai hauonyeshwi kwa umati kukusanyika,wapo watu wanaojaza mikutano yao kwa mbinu mbalimbali mwisho wa siku huumbuka kwenye lile SANDUKU LETU PENDWA!
BALLOT BOX, hili huonyesha uhai halisi.....si kura za hasira wala kura za maruhani
TRY TO GET MY CONTEXT YOU WILL KNOW WHAT I MEAN
 


swali hilo waulize watu wa CUF! MIMI SI CUF ! binafsi sina probleam na CUF sababu hawa problem na waislam ... CDM ni janga! hawatakiwi kuingia madarakani kabisaa... until pale watakapoacha UDINI WAO

na wewe mpaka utaacha udini lini ulolishwa na baba yako ccm 2015 kupitia jumbe za simu yaani mlizisambaza bila hata jicho la huruma kwa mtoto taifa la kesho. Ccm ndio janga la dunia maani ilikuwa hata kwa damu za watanzania ilimladi washike dola kama kubadilika tuanze leo hapa jamvini mtaan ledion c o tumain au redio imani. Upo hapo mkuu
 


nishasema mimi sio CUF! au kwasababu ni muislam!... alafu hapo kwenye RED don't make your self look like a clown uwezo wa lipumba kwenye maswala ya uchumi ni wewe + mwenyekiti wako + katibu wako = at list mtafikia robo ya uwezo wake 1

Mi sifahamu wala hitaji jua dini yako. Kwani njiwa ana dini?
Ninachofahamu ni kwamba una akili za kuazima.

Hiyo CV+jumlisha vyeti vya shule na kwingine+ kadi ya CUF mkawape Collectors au Muweke ktk private souvenirs.Hakuna collectors hapa.Yaani kama ningekuwa katik interview vyeti +CV vingenifanya nimwite,ila angefika katik interview akiniambia kuwa "Ana mpango wa kuwa na serikali inayotoa hela bure halafu watu wakatumie wapendavyo nisingamilizia interview".

Kwa kupenda uvivu kwako unaona habai nzuri,ila hujui madhara yake..binadamu asiyefanya kazi huuza hula unga, huzaana hovyo, hunya pombe etc na tabia nyingine zinazoangamiza taifa.Hela ya serikali ikitumika vizuri kufungua fursa na kuwezesha watu, kujenga na kutunza miundombinu taifa hustawi, hela ikizidi inawekwa katika hazina ya Taifa.Leo uchina wangekuwa wakitumia hela wanayokopesha mataifa mengine kugawia raia wao si wangekuwa wameishiwa.

Sidhani kama Prof ana uwezo wowote useful kwa taifa hili kwa niliyoyasikia leo.Believe me kama asipobadilika hatokaa hakuna chama kitakachomhitaji katik safu yake ya uongozi zaidi ya CCM wakibahtaika baki madarakani.Huko atapata vyeo vy akustaafia.
Kama wewe ndiye prof....pole sana.Naomba usipende kuwa mjanja katik wajinga kwani unazidi kuwa mjinga zaidi.
 
Wakuu,

Nimeshuka hapa kituo cha Jangwani naelekea moja kwa moja mpaka kiwanjani, napishana na defender ikiwa na askari watatu...

Nitazidi kuwapa update












PICHA kwa hisani ya Blog ya Mjengwa:

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Katika hili kundi wapo ndugu zetu ambao mtindio wao kidogo umepevuka tukilinganisha na wale wa ccm tuongeze bidii kuwakomboa kwa sabb wakizidiwa wataamia ccm
 
Wewe mbona povu linakutoka bure kwa hiyo Chadema hakuna waislam? Wewe naona unapambana na Uislam pambana na CCM Uislam ni dini utajipa ugonjwa wa moyo bure.

mkuu am sory huji kunikuta na element hizo angalia nani nilikuwa na mjibu NI MKUU NJIWA angalia post zake af linganisha na za kwangu maana mm hata kama mtu ni cdm af anaonesha kukashifu imani na mtu huwa na mkemea angalia hata posti zangu vizuri mkuu napotereza ruksa kunirudisha mstarini ila leo usiwe unaniambia mimi na mimi nisikukute kesho kwa pamoja tuwe patrolor humu jamvini na kukemea kwa hasira zote. UNASEMAJE MKUU?
 


Hata muunde unde vipi umbea wenu wa kijinga Wakristo na Waislam hatujaanza kuishi pamoja leo tuna miaka mingi na familia zetu zinafaamiana, nyie ni mashetani ya wazi wazi tunawatambua. Wakristo na Waislam kwanza tunaheshimiana sana na tuna staha, nyie wala sio wahumini wa dini hizo sema mnajifanya tu. Lakini mmeshagundulika tafuteni mbinu nyingine hiyo imeshindwa.


mkuu umekurupuka!! niwapi nimekashifu wakristo kwenye huu uzi! zaidi ya CDM au chadema ni wakristo..??! "nimesema aim muslims & proud" hiyo sentensi inaelekea imekuuma sana! i hope it still hurts! ...

 
Kawaulize CUF mie sio CUF...wewe si Chadema nijibu kwa nini nyie Chadema ampatani na Waislam.

kaka si kweli kuwa cdm haipatani na waislamu na haya yaliletwa na ccm na watu wajinga wachache wameyashika unakumbuka jumbe za cm 2015? Tuwe waangalifu mwingine atakuuliza swala la kejer kuwa kwann mikutano ya kaf tunawaona waislamu tu? Kitu hichi mm na kataa c kweli wapo wakritu kafu vile vile wapo waislamu cdm haya yote ni matunda ya ccm
 
Hiyo defender isikutishe kwa vile polisi hawawezi kuvuruga mkutano wa CUF kutokana na CUF na CCM kuwa katika ndoa kwa muda sasa. Serikali imetuma defender kuwalinda washikaji wao na si kuwavuruga. Hiyo ni janja ya kawaida. Nani hajitaki aivamie nyumba ndogo kwa magumi imuumbue kwa mke wake? Hao tumeishawazoea. CUF na polisi ni watoto wa baba na mama mmoja aitwaye Chama Cha Mauaji.

yeah! ccm na cuf wako kwenye chumba cha mahaba ndani ni mabusu motomoto huku polisi wakilinda nje ya chumba
 
Watanzania bana. Makombora kwa sasa humu yamekuwa kati ya CUF na CHADEMA. CCM wako kimya wanaangalia misuguano kati ya hawa magwiji wa siasa mpya nchini. Ama kweli, vita vya panzi, furaha ya kunguru. Hizi ndizo siasa za Tanzania.
 
Nicholas huna jipya! hata hayawani yoyote atakwambia mtu kama wewe haupo level ya pro. lipumba! ulianza kunesha negativity ya huu mkutano toka mwanzo wa thread .. ulianza na mchungaji feki. sijui nani aliyekuthibitishia yule mchengaji ni feki... ukaendelea na ku criticize huu mkatano hadi ulipo kwisha.. so sioni ajabu kinyesi ukaita keki sabau ulisha makeup ur mind from the beginning .. Avata yako screams everything about you!...

aim out of here ... napeleka nieces wangu matembezi! ....

enjoy weekend yako! punguza roho yako ya kwanini! sio nzuri!
 
Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CUF taifa, amewataka waislamu wote kujiunga na CUF, kwa vile CCM na CDM haviwataki.

Je, hajathibitisha madai ya siku nyingi kuwa CUF ni chama cha kidini?
Hana jipya huyo anaona atumie sera ya udini. Tuwakatae kwa nguvu zetu zote watu hawa ni HATARI sana kwa mustakabali wa taifa letu badala ya kumwaga sera za chama analeta udini.kuna baadhi ya watu wanataka kuutumia uislamu vibaya, TUWAOGOPENI kama ukoma.
 
Cuf duu wamezinduka...hivi walishawahi kubadili uongozi wao wa juu...au bila lipumba hamna cuf????
 
Huwezi kutenganisha barghashia na mikutano ya CUF (If truth is to be said) Hope mods hawatanifungia kama walivyowahi kunifanyia!!!!!
 
Kama CUF wanataka kubadili watafute mgombea urais mwingine siyo lazima Lipumba kila uchaguzi..Watu wengine hawana aibu..mtu unagombea more than four times lakini bado unangangania tu..This time Lipumba asigombee, amwachie hata Jusa..
 


CCM chini ya kikwete haina tena mambo ya udini lete ushahidi alafu hivi mkuu unandoto za Chadema kuja kukamata madaraka ya hii nchi...??!!

kabisaa wala c kinafiki mkuu unabisha kuwa ccm wameleta udini? Unakumbuka 2015 zile jumbe za cm kuichafua cdm? Je ni CUF ndo walokuwa wanazituma au nccr mageuzi? Tuwe wakweli ndani ya nyoyo zetu jaribu kuvua imani ya kisiasa au kidin af cema ukweli nani alihusika afu bila hata ya chama hicho kuto a tamko.
 
Back
Top Bottom