Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

quote_icon.png
By Ritz
Kawaulize CUF mie sio
CUF...wewe si Chadema
nijibu kwa nini nyie
Chadema ampatani na
Waislam.

Kuchukua+chakula.JPG

Ulikuwa unamaana Gani kwani RITZ?

Duh..ama kweli JF kuna mambo! Yaani badala ya kujibu hoja za Ritz we unakimbilia kuwapatanisha Chadema na Waislam kwa kutumia picha hii?
 
Kuna kikundi cha watu wamejivika ngozi kama waislamu zaidi ya waislamu wengine. Hawa ni propagandists wa ccm wanaojaribu kila liwezekanalo kuichafua chadema ili kionekane kinawabagua waislamu. Sina haja ya kuwataja hapa. Wanajulikana. Wengine hudai si wanachama wa chama chochote cha siasa ila tu wanaichukia chadema kwa sababu haiwapendi waislamu. To add salt to the wound, wanadai chadema ni chama cha wakristo. Ni kikundi cha aina hii ambacho hudai cuf ni chama cha waislamu. Hiyo propaganda ilifanya kazi vilivyo miaka hiyo cuf ilipokuwa na nguvu. Na leo tena ninaposikia kiongozi wa cuf anasema kwa wanasingiziwa kwamba ni chama cha waislamu, basi anawaomba waislamu wote wajiunge nacho....naishiwa nguvu.

Bahati mbaya zaidi ni kwamba mambo ya imani haya kwa watu wa nchi zetu hizi ni very sentimental and influential katika maisha ya kila siku. Katika jazba na hamaki za kujibu mashambulizi yaliyoandaliwa kiufundi, watu wengi hujikuta wamewarushia kombora waislamu/wakristo wote, jambo ambalo ni kosa kubwa na lenye madhara sana.

Bado naamini majority ya waislamu ni watu wenye uelewa na uvumilivu kama history inavyoonyesha. Ila hiki kikundi kisipodhibitiwa, huko mbele ni kiza tena kinene.
 
C.c.m oyeeeee...!! C.c.m! C.c.m! Aaa! Chama cha mapinduzi c.c.m no: One! Mtajuta 2015.
 
unaposema nyinyi unamaanisha nani?

Nyinyi si mnampiga vita Zito asigombee ili Dr Slaa nae awe mgombea wa kudumu. Kama mnaubavu mwambieni dr asigombee tuone. Maana hii nayo itakuwa mara ya pili mfululizo na MIAKA 1O lol!
 
Hivi wanasemaje kuhusu ile Operesheni Zinduka ambayo walikopi na kupesti wrongly (maana it wasn't their initiative/idea) iliishia wapi vile? Waliweza kuzunguka mikoa mingapi vile? Hii ndiyo athari ya copy and paste wrongly and at a wrong page! The same fate V4C will go through. Hivi hawaoni aibu kuwa chama cha copy and paste at a wrong page. Haya.
 
Mikoa ya Mtatiro ni Lindi, Mtwara, Pwani, Tanga, Unguja na Pemba. Hujui!!!!!!!!
 
mchakamchaka ,huko mbele ni vita tu ,mkae tayari maana CDM imeshachoka baada ya kushindwa kuhimili zoluba za shoga yao CCM.
 
mchakamchaka ,huko mbele ni vita tu ,mkae tayari maana CDM imeshachoka baada ya kushindwa kuhimili zoluba za shoga yao CCM.

naona umevizia mpaka watu wamelala
 
Kuna kikundi cha watu wamejivika ngozi kama waislamu zaidi ya waislamu wengine. Hawa ni propagandists wa ccm wanaojaribu kila liwezekanalo kuichafua chadema ili kionekane kinawabagua waislamu. Sina haja ya kuwataja hapa. Wanajulikana. Wengine hudai si wanachama wa chama chochote cha siasa ila tu wanaichukia chadema kwa sababu haiwapendi waislamu. To add salt to the wound, wanadai chadema ni chama cha wakristo. Ni kikundi cha aina hii ambacho hudai cuf ni chama cha waislamu. Hiyo propaganda ilifanya kazi vilivyo miaka hiyo cuf ilipokuwa na nguvu. Na leo tena ninaposikia kiongozi wa cuf anasema kwa wanasingiziwa kwamba ni chama cha waislamu, basi anawaomba waislamu wote wajiunge nacho....naishiwa nguvu.

Bahati mbaya zaidi ni kwamba mambo ya imani haya kwa watu wa nchi zetu hizi ni very sentimental and influential katika maisha ya kila siku. Katika jazba na hamaki za kujibu mashambulizi yaliyoandaliwa kiufundi, watu wengi hujikuta wamewarushia kombora waislamu/wakristo wote, jambo ambalo ni kosa kubwa na lenye madhara sana.

Bado naamini majority ya waislamu ni watu wenye uelewa na uvumilivu kama history inavyoonyesha. Ila hiki kikundi kisipodhibitiwa, huko mbele ni kiza tena kinene.
Mkuu wangu I have said it over and over, lakini nashangaa hapa JF watu wanashindwa bado kuelewa kwamba adui yao mkubwa hapa ni CCM na wapambe wake lakini maajabu ni hawa wanaChadema wenzangu wanapoelekeza mashambulizi yao kwa Waislaam -big big mistake. Niwafahamishe tu ya kwamba that is exaclty what CCM wants us do to do.. Marekani siku zote huwachokonoa waarabu ktk sheria zao wakijua fika kwamba they are very sensitive on issue ambazo zinahusiana na imani ya dini. na Waarabu iwe Alqaeda au Waislaam kwa kutojua mbinu hii hu react wakavunja maduka, na kuahidi kisasi..

Hizi ahadi za kuwek kisasi ndio huwapa Marekani nafasi ya kushambulia kwa madai kwamba wanajilinda. At the end waarabu hushindwa vita wakafukuzwa ktk nchi yao wenyewe na wakanyang'anywa hadi mafuta yao wenyewe. Maajabu they never learned..Moja tu nalowataka mfahamu ni kwamba CUF are coming back strong kwa kutumia karata ya Udini.. yaani wao wamekubali kuwa chama cha Waislaam just to be opposite Chadema kwa kuaminishwa ni chama cha Kikristu. Kwa hilo CCM wametushinda sote.
 
Ujumbe wako umeeleweka lakini hili angalizo lako la Marekani na nchi za kiarabu siyo lahisi kuainisha kama unavyopenda iwe. Historia ya siasa za Marekani na nchi za kiarabu imejificha kiasi ambacho mwananchi wa kawaida kama mimi na wewe hatuwezi kujua kwa undani zaidi. Rejea swala la Julian Assange na US diplomatic cables ili kuona kidogo kwa nje

Mkuu wangu I have said it over and over, lakini nashangaa hapa JF watu wanashindwa bado kuelewa kwamba adui yao mkubwa hapa ni CCM na wapambe wake lakini maajabu ni hawa wanaChadema wenzangu wanapoelekeza mashambulizi yao kwa Waislaam -big big mistake. Niwafahamishe tu ya kwamba that is exaclty what CCM wants us do to do.. Marekani siku zote huwachokonoa waarabu ktk sheria zao wakijua fika kwamba they are very sensitive on issue ambazo zinahusiana na imani ya dini. na Waarabu iwe Alqaeda au Waislaam kwa kutojua mbinu hii hu react wakavunja maduka, na kuahidi kisasi..

Hizi ahadi za kuwek kisasi ndio huwapa Marekani nafasi ya kushambulia kwa madai kwamba wanajilinda. At the end waarabu hushindwa vita wakafukuzwa ktk nchi yao wenyewe na wakanyang'anywa hadi mafuta yao wenyewe. Maajabu they never learned.
.Moja tu nalowataka mfahamu ni kwamba CUF are coming back strong kwa kutumia karata ya Udini.. yaani wao wamekubali kuwa chama cha Waislaam just to be opposite Chadema kwa kuaminishwa ni chama cha Kikristu. Kwa hilo CCM wametushinda sote.
 
Ujumbe wako umeeleweka lakini hili angalizo lako la Marekani na nchi za kiarabu siyo lahisi kuainisha kama unavyopenda iwe. Historia ya siasa za Marekani na nchi za kiarabu imejificha kiasi ambacho mwananchi wa kawaida kama mimi na wewe hatuwezi kujua kwa undani zaidi. Rejea swala la Julian Assange na US diplomatic cables ili kuona kidogo kwa nje
Swala la Marekani na waarabu nalielewa vizuri sana.. hakuna jingine zaidi ya maliasli na rasilimali zao... Mbona hawana matatizo na Saudia who are worse on such claims than any Arab nation. Tuaache hayo tujenge chama.
 
Umesema kama nilivyodokea, tuziache siasa za marekeni kwa wamerekani kwa sababu swala la ugonvi na nchi za kiarabu siyo maliasili na rasilimali tu. ni zaidi ya ujuavyo. Hizo siasa hatuwezi kuziogelea. Ni bora tuhangaike tu na siasa zetu hizi changa nchini.

Swala la Marekani na waarabu nalielewa vizuri sana.. hakuna jingine zaidi ya maliasli na rasilimali zao... Mbona hawana matatizo na Saudia who are worse on such claims than any Arab nation. Tuaache hayo tujenge chama.
 
wla sihitaji jipya kuona ***** wako hapa. Hujui Ukristu **** wewe ndio maana hujaona ujinga waliofanya wababaishaji CUF .Hakuna mchungaji anayefanya ishaa ya msalaba..hiyo ni catholics.Na catholics hawana mchungaji.Halafu alikuwa akitabasamu na waliokuwa nyuma yake pia walikuwa waicheka. Na alipotoka alitoa salamu za mikono kama mtu asiye na uzoufu na ibada za Kikristu pia alikuwa akipeana mikono wenzie kwa staili ya kuonyesha kuwa kajitahidi act.Hii ni kufuru na kujidhalilisha kwa CUF. Mna mizaha zana na dini za wengine kiasi cha kufanya nanyi mkosewe adabu.Jifunze kuwa watu wazima ili mpate heshimika.Huyu jamaa hawezi kuwa mchungaji, hata kanjanja asingekwenda caltholic way. Wapeleke matembezi angalau ukaone watu wenye fikra nzuri na hapa hakuna wanaingia katik hii project lies mnayoindesha

jazba! typical Pro CDM! they think they are always right! hongera! naona ume concetrate na huyo mchungaji! madhehebu yapo mengi sana tanzania maybe walimuita kutoka dehebu flani and again umetumia hii kauli "Mna mizaha zana na dini za wengine" yaaani umeni include humo .. sijui kwanini! ?? as if mi ndiye niliyemuita huyu mchungaji.. anyways ongea Whatever turns you on .. end of the day -

1)CUF walifanya mkutano

2)CDM wakapewa vipande vyao

3)wamechemka kuwaponda ccm though they tried

4)vibaraka shia vilikuwepo "waislam wengi ni cuf" endeleeni kukiita chama cha kidini etcl.. lakini uchaguzi ukija washinde au washindwe vile vibarakashia vitachagua cuf !

5) Prof. kaongea wapo waliomuelewa na wapo wenye iq ya 1GB hawakumsoma kabisa

6)mkutano ukaisha kwa amani ..

7)endeleeni kupiga majungu na kujipa moyo wapinzani ni peke yenu
 
kabisaa wala c kinafiki mkuu unabisha kuwa ccm wameleta udini? Unakumbuka 2015 zile jumbe za cm kuichafua cdm? Je ni CUF ndo walokuwa wanazituma au nccr mageuzi? Tuwe wakweli ndani ya nyoyo zetu jaribu kuvua imani ya kisiasa au kidin af cema ukweli nani alihusika afu bila hata ya chama hicho kuto a tamko.

naoMBa ulete article au video au sauti au chochote ! 2015 DR.KIKWETE ALISIMAMA JUKWAANI NA KUICHAFUA CHADEMA! usiniletee clip za kina lusinde nataka maneno ya Dr. JK

naoMBa ulete article au video au sauti au chochote ! 2015 DR.KIKWETE ALISIMAMA JUKWAANI NA KUICHAFUA CHADEMA! usiniletee clip za kina lusinde nataka maneno ya Dr. JK

mkuu unajishushha hadhi kwani jk ndio general ya ccm? Mm nampenda raisi wangu bali chama kilitumia sms hizo unabisha hilo mpaka bbc na voa waliongelea napo sema ssem simaanish jk pekee mkuu! Ccm as general
 
Back
Top Bottom