Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,249
...Mtatilo anamaana gani kusema kama noma naiwe noma?...hii kauli na ile ya liwalo naliwe mbona zinafanana?...Pinda aliposema liwalo naliwe Ulimboka akatekwa kilichomkuta wote tunakumbuka...Sasa leo tena Matatilo naye anatoa kauli tata kama hii "kama noma naiwe noma",hapa kuna kitu kibaya bilasha kimaandaliwa...