mimi sina chama sababu nimegoma kupelekwapelekwa na wanasiasa.... labda wewe mwenye akili za kushikiwa na wanasiasa ... wanaandaa maandamano ikitokea vurugu mwapigwa wao wapo majumbani mwao na family zao ! au umenibandika u CCM sababu namtetea kikwete! ...??? yeh! KIKWETE ni raisi mstaarabu sana haitapata kutokea kama yeye katika historia ya siasa za tanzania !! sijaona kiongozi wa upinzani mwenye kumzidi Dr. jakaya
dr wa nini?