Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
so you are a kraap wasted right?
wasted.....
so you are a kraap wasted right?
wasted.....
Kuna mtu anazungumza sasa hivi anasema zamani CUF ilikuwa na kaulimbiu ya 'Jino kwa jino' na sasa ni Mchaka Mchaka hadi 2015 Prof. Lipumba atakapoingia Ikulu.
wla sihitaji jipya kuona ***** wako hapa. Hujui Ukristu **** wewe ndio maana hujaona ujinga waliofanya wababaishaji CUF .Hakuna mchungaji anayefanya ishaa ya msalaba..hiyo ni catholics.Na catholics hawana mchungaji.Halafu alikuwa akitabasamu na waliokuwa nyuma yake pia walikuwa waicheka. Na alipotoka alitoa salamu za mikono kama mtu asiye na uzoufu na ibada za Kikristu pia alikuwa akipeana mikono wenzie kwa staili ya kuonyesha kuwa kajitahidi act.Hii ni kufuru na kujidhalilisha kwa CUF. Mna mizaha zana na dini za wengine kiasi cha kufanya nanyi mkosewe adabu.Jifunze kuwa watu wazima ili mpate heshimika.Huyu jamaa hawezi kuwa mchungaji, hata kanjanja asingekwenda caltholic way. Wapeleke matembezi angalau ukaone watu wenye fikra nzuri na hapa hakuna wanaingia katik hii project lies mnayoindeshaNicholas huna jipya! hata hayawani yoyote atakwambia mtu kama wewe haupo level ya pro. lipumba! ulianza kunesha negativity ya huu mkutano toka mwanzo wa thread .. ulianza na mchungaji feki. sijui nani aliyekuthibitishia yule mchengaji ni feki... ukaendelea na ku criticize huu mkatano hadi ulipo kwisha.. so sioni ajabu kinyesi ukaita keki sabau ulisha makeup ur mind from the beginning .. Avata yako screams everything about you!... aim out of here ... napeleka nieces wangu matembezi! .... enjoy weekend yako! punguza roho yako ya kwanini! sio nzuri!
Kama tunataka mageuzi ya kweli, basi vita kati ya CDM na KAFU lazima ife kwanza
yaleyale ya kuendeleza porojo.
kweli jf inahitaji mabadiliko, imevamiwa.
Cuf..................... Du hiki chama cha vilaza.
Kweli uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
Swala hapa siyo kuchukia CDM ila ni kauli yako kwamba CDM imetangaza "vita" dhidi ya Uislam, kitu ambacho umshindwa kuthibitisha.
Hiyo imani ya kuzimu na itakupeleka huko shauri zako
huu udini ndio utakao angamiza taifa letu.
Kila siku unakua, tunajidanganya kwa kutoa majibu mepesi eti chama fulani ndio kina tumia udini kutugawa wakati wenyewe tunaupenda na kuukumbatia kwa nguvu zote.
Tusipo yabadilisha yaliyo ndani ya vifua vyetu tutaendelea kumtafuta mchawi mpaka kiama.
Kama tunataka mageuzi ya kweli, basi vita kati ya CDM na KAFU lazima ife kwanza
nithibitishe mara ngapi.. hebu tafuta thread aliyo anzisha mzee mtei maoni yake kuhusu tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya
kawaulize cdm mimi sio cdm mimi ni SAU die hard
Nyinyi si mnampiga vita Zito asigombee ili Dr Slaa nae awe mgombea wa kudumu. Kama mnaubavu mwambieni dr asigombee tuone. Maana hii nayo itakuwa mara ya pili mfululizo na MIAKA 1O lol!
Wa kuiua ni CUF na wala si CDM.tayari CUF wamejiweka wasipoaminika....CUF wanajichafua kirahisi sana kwa kutumia uchafu wa CDM.Ngumu sana CDM kukaa na uchafu walioutupa wao.CUF ni walaini sana kifikra.Leo tuu wamethibisha yote yasemwayo juu yao kirahisi sana.Si salama sana kuwa na mshirika kama huyu.
Ni kuacha vita viendelee ila viwe vya kistaarabu kwani pia ni wapinzi wa CDM kuanzia sasa ktk chama kikuu cha upinzania,baadaye wanaweza kuwa mpinzani na chama tawala.CUF wakijikaza CCM inaanguka na hivyo CUF wanaweza wakaambulia upinzania rasmi na hivyo kujenga misingi ya kuja kuwa chama tawala.CCM wapo katika deadlock.
CUF tuu hawajaona mbali.CCM imefikia mahali "ama chama kiwe mzigo kwa mgombea ama mgombea awe mzigo kwa chama".Bahati waliyopata na JK kuwa Chama kinaweza kuwa mzigo ila mgombea kuwa maarufu sana kiasi cha kufunika chama hakuna tena.makundi yatakiua.CUF wangeweza jijenga na kufanya kwa maslahi yake na si ya CCM, CCM ikianguka wangweza gawana wanachama na hivyo kujijenga upya.Wamechukua njia ya kufa na CCM na si ya kuibuka na CDM
Sasa umekimbilia ku-quote post yangu ya nini.
Hata muunde unde vipi umbea wenu wa kijinga Wakristo na Waislam hatujaanza kuishi pamoja leo tuna miaka mingi na familia zetu zinafaamiana, nyie ni mashetani ya wazi wazi tunawatambua. Wakristo na Waislam kwanza tunaheshimiana sana na tuna staha, nyie wala sio wahumini wa dini hizo sema mnajifanya tu. Lakini mmeshagundulika tafuteni mbinu nyingine hiyo imeshindwa.