Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,751
- 46,270
Wa kuiua ni CUF na wala si CDM.tayari CUF wamejiweka wasipoaminika....CUF wanajichafua kirahisi sana kwa kutumia uchafu wa CDM.Ngumu sana CDM kukaa na uchafu walioutupa wao.CUF ni walaini sana kifikra.Leo tuu wamethibisha yote yasemwayo juu yao kirahisi sana.Si salama sana kuwa na mshirika kama huyu.
Ni kuacha vita viendelee ila viwe vya kistaarabu kwani pia ni wapinzi wa CDM kuanzia sasa ktk chama kikuu cha upinzania,baadaye wanaweza kuwa mpinzani na chama tawala.CUF wakijikaza CCM inaanguka na hivyo CUF wanaweza wakaambulia upinzania rasmi na hivyo kujenga misingi ya kuja kuwa chama tawala.CCM wapo katika deadlock.
CUF tuu hawajaona mbali.CCM imefikia mahali "ama chama kiwe mzigo kwa mgombea ama mgombea awe mzigo kwa chama".Bahati waliyopata na JK kuwa Chama kinaweza kuwa mzigo ila mgombea kuwa maarufu sana kiasi cha kufunika chama hakuna tena.makundi yatakiua.CUF wangeweza jijenga na kufanya kwa maslahi yake na si ya CCM, CCM ikianguka wangweza gawana wanachama na hivyo kujijenga upya.Wamechukua njia ya kufa na CCM na si ya kuibuka na CDM
Naona umeamua kujifariji na kujiliwaza naona una msongo wa mawazo unapanga kama vile unailekeza familia yako ifuate maagizo yako baba mwenye nyumba...ha haa haa JF kuna vituko.