AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Cuf..................... Du hiki chama cha vilaza.
@Ritz, ni kweli ulikuwa umesimama nyuma ya mtatiro ndio maana ukawa hujibu kitu hadi sasa mkutano umeisha ndio umeibuka? pole kwa mkutano mkuu
hehehe!!! hivi wewe ..Prof! ! sio slaa mwenye certificate za dini .. tena mtu kama wewe ndio huwezi kabisa kusimama naye
so mimi kusema nachukia cdm ! Nadhalilisha waislam! Wawapi..weye...??!
Hiyo imani ya kuzimu na itakupeleka huko shauri zako
mimi sina chama! ila nachukia sana chadema "from flesh of my flesh " sababu wametangaza vita na imani yangu "islam" waziwazi
mimi ni muislamu lakini Pro Chadema, fanya utafiti wako vizuri usitusingizie dini zisizokuwa zetu
Sasa hiyo CV is a pieace of s.h.i.t .Hiyo inawafaa nyinyi kwani ndio anaitumia kuwatawala.
BY THE WAY MCHUNGAJI FEKI MMEMPATA WAPI?MLIKUWA MNAMPA 5 KWA KUMALIZA KAZI KWA UFASAHA.HAMJUI JF KUNA WATU SMART SANA.KWA MWENDO HUU CUF ITAKUWA KICHEKSHO KWA MIAKA MINGI SANA.TUNAHITAHITAJI VITU HASILIA NA VINAVYOTEKELEEZEKA.
Kweli uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
Swala hapa siyo kuchukia CDM ila ni kauli yako kwamba CDM imetangaza "vita" dhidi ya Uislam, kitu ambacho umshindwa kuthibitisha.
Hiyo imani ya kuzimu na itakupeleka huko shauri zako
Hiyo imani ya kuzimu na itakupeleka huko shauri zako
hivi hao cuf hawana wahombea wengine? Au katiba yao inasema maalim seif na lipumba ndo wagombea wa kudumu wa urais? Yaani lipumba agombee tena urais 2015? Kwa lugha nyingine kwa mara ya 5, kwa miaka 20 mfululizo?
Loh hafai....
hivi ni kwanini kafu na waktristu hawapatani??
Kawaulize CUF mie sio CUF...wewe si Chadema nijibu kwa nini nyie Chadema ampatani na Waislam.
weka picha basi!Haijawahi kutokea katika historia ya karibuni,umati huu.mwenye kuweza alete picha kutoka mjengwablog
nithibitishe mara ngapi.. hebu tafuta thread aliyo anzisha mzee mtei maoni yake kuhusu tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya
so mimi kusema nachukia cdm ! Nadhalilisha waislam! Wawapi..weye...??!