Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Hivi si tuliambiwa CUF imekufa? Sasa hao watu wamewatoa wapi? Mwenye maelezo tafadhali..
 




mimi sina chama! ila nachukia sana chadema "from flesh of my flesh " sababu wametangaza vita na imani yangu "islam" waziwazi

madher dah ulimi unagoma namuona mod na kadi nyekundu. HUNA CHAMA WAPI WEWE UNAZINGUA MPAKA SHANGA ZAKO NI ZA KIJANI UNAZINGUA LEO UNATHUBUTU KUKATAA TASWIRA YAKO KWENYE KIOO KAZI UNAYO.
 
Nani kakuambia prof wa uchumi akiwa kichaa unahitaji degree za uchumi ndio ujue kadata?

hehehe!!! hivi wewe ..Prof! ! sio slaa mwenye certificate za dini .. tena mtu kama wewe ndio huwezi kabisa kusimama naye


BRIEF RESUME

Professor Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA
Senior Research Fellow
The Multi-Environmental Society (MESO)
P.O. Box 70949
Dar Es Salaam,
Tanzania.

Independent Consultant
c/o G.V. Mtenga
UNICEF
P.O. Box 4076
Dar es Salaam
Tanzania.




Field of expertise:

International Trade and Finance, Macroeconomics

Development Economics and Agricultural Economics.

Current research focus: (1) Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa.

(2) Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa (3) Policies to Promote Growth in Sub Sahara Africa.


Date of Birth
6th June 1952
Marital Status
Married

Education:

1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305

1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305

1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences

1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:

1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship

1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems

1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam

Employment:

1999- Independent Consultant, Dar es Salaam

1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.

1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics Williams College, USA.

1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e. Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.

1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es Salaam.

1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA), Swedish International Development Agency (SIDA), NORAD, DANIDA, Ministry of Foreign Affairs Finland, Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation.

Other Responsibilities:

2000, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2000.

1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political party in Tanzania.

1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of Helsinki.

1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 1995.

1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.

1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis facing the National Insurance Corporation.

1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems of Shinyanga Region Cooperative Union.

1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector Reform, Dar es Salaam, Tanzania.

1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi, Tanzania.

1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.

1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar es Salaam, Tanzania

1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.

Selected Publications:

Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.

African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983.

Published by Stanford African Students Association.

Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.

The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic Reflections, January 1982.

Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of Tanzania.

The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.

Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.

"Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects 1984.


"Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank.

Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988. "The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.

"Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario).


"A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.


"Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu andKapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.

"The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre for Development Research) 1990.


"Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference Proceedings. 1988.

Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.

The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.

Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange Rate Determination United Nations, New York 1991.

Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United Nations, New York 1991.

Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African Development Bank, African Development Report 1994.

Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African Countries.

United Nations Conference on Trade and Development International Monetary and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.

African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development Council Washington, D.C. 1994.

"Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.

"The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.

"An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance - Namibia." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998

"An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance - The Kingdom of Swaziland." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998 "The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And
Southern Africa, Mefmi - Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).

"Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human Development Report.

"Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP Cooperation South No. 1 1999 "Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999.


 




1 ) Pro CDM JF wengi ni anti muslims

2)Mzee Mtei kauli yake kuhusu tume ya katiba na kudai waislam wamependelea "huyu muasisi wa CDM"

3)mchungaji msingwa kusimama bungeni bila aibu eti anauliza kwa nini zanzibar watu wanfunga ...

etcl...

matendo yao na viongozi wao na mashabiki yanatosha kuthibitisha they are anti muslims

There you go again

Vipi na pro KAFU wengi ni anti Christian??

is this the seed you are trying to plant here while eating and drinking your life out of Tanzania?
 
madher dah ulimi unagoma namuona mod na kadi nyekundu. HUNA CHAMA WAPI WEWE UNAZINGUA MPAKA SHANGA ZAKO NI ZA KIJANI UNAZINGUA LEO UNATHUBUTU KUKATAA TASWIRA YAKO KWENYE KIOO KAZI UNAYO.

mimi sina chama sababu nimegoma kupelekwapelekwa na wanasiasa.... labda wewe mwenye akili za kushikiwa na wanasiasa ... wanaandaa maandamano ikitokea vurugu mwapigwa wao wapo majumbani mwao na family zao ! au umenibandika u CCM sababu namtetea kikwete! ...??? yeh! KIKWETE ni raisi mstaarabu sana haitapata kutokea kama yeye katika historia ya siasa za tanzania !! sijaona kiongozi wa upinzani mwenye kumzidi Dr. jakaya
 


1 ) Pro CDM JF wengi ni anti muslims

2)Mzee Mtei kauli yake kuhusu tume ya katiba na kudai waislam wamependelea "huyu muasisi wa CDM"

3)mchungaji msingwa kusimama bungeni bila aibu eti anauliza kwa nini zanzibar watu wanfunga ...

etcl...

matendo yao na viongozi wao na mashabiki yanatosha kuthibitisha they are anti muslims

Mkuu ebu ongeza na hilo ulilolisema kabla "mimi sina chama! ila nachukia sana chadema "from flesh of my flesh " sababu wametangaza vita na imani yangu "islam" waziwazi"
Mbona havilingani na hayo mengine kudhihirisha kauli ya kutangaza vita na imani yako "islam"?

Usipende kauli ya waislaam kulialia ionekane kuwa ni kweli. Hii ni kutokana na watu kama wewe ambao unatoa tuhuma zenye sura ya uthibitisho, lakini ukibanwa uthibitishe unatoa uthibitisho mwepesi kuliko pamba!

Si vema, unadhalilisha.
 
There you go again

Vipi na pro KAFU wengi ni anti Christian??

is this the seed you are trying to plant here while eating and drinking your life out of Tanzania?

swali hilo waulize watu wa CUF! MIMI SI CUF ! binafsi sina probleam na CUF sababu hawa problem na waislam ... CDM ni janga! hawatakiwi kuingia madarakani kabisaa... until pale watakapoacha UDINI WAO
 
madher dah ulimi unagoma namuona mod na kadi nyekundu. HUNA CHAMA WAPI WEWE UNAZINGUA MPAKA SHANGA ZAKO NI ZA KIJANI UNAZINGUA LEO UNATHUBUTU KUKATAA TASWIRA YAKO KWENYE KIOO KAZI UNAYO.

Wewe mbona povu linakutoka bure kwa hiyo Chadema hakuna waislam? Wewe naona unapambana na Uislam pambana na CCM Uislam ni dini utajipa ugonjwa wa moyo bure.
 
mkuu ebu ongeza na hilo ulilolisema kabla "mimi sina chama! Ila nachukia sana chadema "from flesh of my flesh " sababu wametangaza vita na imani yangu "islam" waziwazi"
mbona havilingani na hayo mengine kudhihirisha kauli ya kutangaza vita na imani yako "islam"?

Usipende kauli ya waislaam kulialia ionekane kuwa ni kweli. Hii ni kutokana na watu kama wewe ambao unatoa tuhuma zenye sura ya uthibitisho, lakini ukibanwa uthibitishe unatoa uthibitisho mwepesi kuliko pamba!

Si vema, unadhalilisha.

so mimi kusema nachukia cdm ! Nadhalilisha waislam! Wawapi..weye...??!
 




1 ) Pro CDM JF wengi ni anti muslims

2)Mzee Mtei kauli yake kuhusu tume ya katiba na kudai waislam wamependelea "huyu muasisi wa CDM"

3)mchungaji msingwa kusimama bungeni bila aibu eti anauliza kwa nini zanzibar watu wanfunga ...

etcl...

matendo yao na viongozi wao na mashabiki yanatosha kuthibitisha they are anti muslims


dhabmi ya udini uloachiwa na baba yako ccm haikuachi wewe mpaka unazkwa leo unawakataa ccm utajukoma n
 
Kuna mtu anazungumza sasa hivi anasema zamani CUF ilikuwa na kaulimbiu ya 'Jino kwa jino' na sasa ni Mchaka Mchaka hadi 2015 Prof. Lipumba atakapoingia Ikulu.

hivi hao cuf hawana wahombea wengine? Au katiba yao inasema maalim seif na lipumba ndo wagombea wa kudumu wa urais? Yaani lipumba agombee tena urais 2015? Kwa lugha nyingine kwa mara ya 5, kwa miaka 20 mfululizo?

Loh hafai....
 
dhami ya udini uloachiwa na baba yako ccm haikuachi wewe mpaka unazkwa leo unawakataa ccm utajukoma njia panda kaombe msaada clouds fm

CCM chini ya kikwete haina tena mambo ya udini lete ushahidi alafu hivi mkuu unandoto za Chadema kuja kukamata madaraka ya hii nchi...??!!
 
Ni nani aliyesema Tanzania hakuna UDINI... Sasa hivi Chuki baina ya Waislaam na Wakristu imesambaa kwa haraka sana ktk majukwaa ya siasa na MIJINGA ambayo mwalimu aliishindwa hadi akajiuzuru Urais inaendeleza Ujinga wao. Kwa mtaji huu sasa naamini kabisa Nyerere hakushindwa kuiongoza nchi bali alishindwa kuwaongoza WAJINGA na hivyo alilazimika kujiuzuru..

Nitaandika WARAKA wangu kwa viongozi wa Chama cha CHADEMA kupitia jukwaa hili na kama kawaida yangu nitaweka mawazo na mtazamo wangu ktk hali halisi kulingana na utafiti wangu maana ktk hali hii naamini kabisa kwamba Chadema na CUF bado kabisa wanahitajiana sana na Udini huu umejengwa makusudi wapigane wenyewe kumalizana. Kuna mapandikizi ya CCM ndani ya Chadema na CUF ambao wako tayari kuona vyama hivi vinamalizana vyenyewe ili CCM ipate urahisi wa kuingia tena madarakani mwaka 2015.

Salamu zangu za dhati zimfikie tena Mheshimiwa Mwenyekiti na baadhi ya viongozi wa chama kuzingatia yale nilozungumza nao mwaka jana 2011 ikiwa kweli wanataka kuchukua madaraka uchaguzi wa mwaka 2915, kinyume cha hapo watakuwa wanaendelea kutwanga maji ktk kinu..
 
Back
Top Bottom