STK ONE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 627
- 184
Nyinyi fanyeni mchezo na hii Amani tu. Mtu akikosea lazima muwe wakweli, jiandaeni kumtetea mahakamani.
Amani hatadumu kwenye njaa, watu wanaweza kujivunia amani, lakini si kuvumilia njaa. Tanzania hakuna amani, NI KA UTULIVU TU AMBAKO KANAWEZA KUTOWEKA MUDA WOWOTE, NA KWA HAYA YANAYOTOKEA NA TUNAYOYAONA, KA UTULIVU HAKA HAKANA MUDA MREFU, TUKIFIKA 2015 BILA LOLOTE KUBWA KUTOKEA, BAHATI SANA. PLS, quote my words......
viva CDM